Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,835
- 4,464
Wawili wengine hapa wanakaribia kuzaa, Kwa kweli nawafuatilia kiukaribu. Maumivu ya kupoteza Mifugo ni makubwa sana. I've learntThen hapo ndipo tunarudi kwenye maneno yangu mkuu
Ng'ombe punde ulipogundua ana mimba ulitakiwa kum monitor sana sana yule sio binadamu ajifungue mwenyewe.
Ungekuwa naye kariba ungejua naye angekuonesha kuwa sasa anataka kujifungua msaidie lakini ukamuacha.ndama mwenyewe anazaliwa mkubwa sometime kichwa kinakwama ndani juu wakati mikono imetokeza anasukumizaje?
Next time kuwa kariba na wakipata mimba