Unayoyajua na usiyoyajua kuhusu wanyama wa kufugwa

Wawili wengine hapa wanakaribia kuzaa, Kwa kweli nawafuatilia kiukaribu. Maumivu ya kupoteza Mifugo ni makubwa sana. I've learnt
 
Wawili wengine hapa wanakaribia kuzaa, Kwa kweli nawafuatilia kiukaribu. Maumivu ya kupoteza Mifugo ni makubwa sana. I've learnt
Akiwa anakaribia kujifungua uke unakuwa umeachia sana na kuna majimaji yanakuwa yapo yapo ujue hapo usicheze mbali sana
Atajifungua tu mara nyingi ni jinni au usiku
 
Wao sijui mkuu
Lakini waafrika tuna ways zetu na ndio hizo unapoona baba yako ana ng'ombe buku ujue amameintain status sababu ya kutumia hizi hizi old ways

Mzungu gani ana ng'ombe buku? Anawaweka wapi?
Sijazungumzia idadi nimezungumzia kunyonya.

Inaonekana akina ASAS na Tanga Dairy watakuwa wana vijana wamewaajiri kwa kazi ya kunyonya masikio, midomo na pua za vindama vinavyozaliwa
 
Sijazungumzia idadi nimezungumzia kunyonya.

Inaonekana akina ASAS na Tanga Dairy watakuwa wana vijana wamewaajiri kwa kazi ya kunyonya masikio, midomo na pua za vindama vinavyozaliwa
Sio kunyonya tu bali kuwachunga na kuwafuatilia
Asas anafuga kibiashara yaani domestic
Wakati sisi vijijini tunafuga mifugo kama sehemu ya familia yetu no wonder hata ndama tunamsafisha sisi sio mama yake
 
Kitu namisi ni kuona zile battle za madume ya mafahali.

Tukiwa machalii wadogo tulikuwa tunachonganisha mafahali halafu tunakaa kuangalia battle.

Wale mafahali wanafikia hatua ya kuwa na bifu na unakuta wako busy kunoa pembe zao kwenye vichuguu.
 
Hili la kunyonya ndama masikio na pua sijawahi kuliona katika jamii yangu.

Kule ng'ombe anasaidiwa kuzaa, kisha mtoto anapanguswa tu.
Wala hawafi.
Hata hivyo sawa unampangusa na kumtikisa tikisa hasa kichwani
 
Kitu namisi ni kuona zile battle za madume ya mafahali.

Tukiwa machalii wadogo tulikuwa tunachonganisha mafahali halafu tunakaa kuangalia battle.

Wale mafahali wanafikia hatua ya kuwa na bifu na unakuta wako busy kunoa pembe zao kwenye vichuguu.
Hahaha mkuu kwa kweli ilikuwa burudani ubaya ng'ombe huwa wanakuwa na bifu muda mrefu hasa kugombania demu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…