Unayoyajua na usiyoyajua kuhusu wanyama wa kufugwa

Mbwa akiashaanza kula tu nyama mbichi basi sio wako huyo tena
 
nadhani hapo kaongeza tu ila kiuhalisia paka ana mifumo miwoli ya kucha na hii ni kwa wanyama wote wanaotumia kucha.
paka akiwa kwenye matembezi kawaida huwa anarudisha kucha ndani ili kumsaidia kutembea vizuri.

pindi paka ama chui akunjuapo kucha zake ni pale tu anapokuwa anapambana ama anapoona hali ya hatari.
simba vivyo hivyo
 
Hapo kwa njiwa umenigusa sana mkuu
Sikuwahi kuwajua namna hii sababu niliwahi kuwafuga wakaishia kuhama tu sikujua sababu ni nini? Kumbe ni kama hizi?

Kuhusu paka Mimi nilichoka ile speed ya jike kuzaa, nilipochunguza nikaja kugundua kelele zile za usiku ni madume yakigombania demu wao (jike langu) yaanj ikawa kelele nje mtindo mmoja jike yule alikuwa na majeraha mengi sana sana masikioni alikuwa akipigwa labda na madume sijajua hapo je majeraha yalitokana na nini?
 
ningependa kuongezea hapa kwenye

Nguruwe
Nguruwe huwa hali kinyesi chake kama vile wengi wadhanivyo ila hutafuta chakula kwenye kinyesi chake mfano wadudu walojificha humo ama kuzaliwa humo baada ya kinyesi kuwa bandan kwa mufa mrefu

Nguruwe anaustaarabu wake wa kujisaidia sehemu moja tuu na huwa kwenye kona moja ya banda lale.

Nguruwe hapendi uchafu labisa.

Nguruwe ukimzoesha muda wa kula ama wa kumwekea chakula yan ukifika ule muda tuuu utaanza kusikia kelele na kuhangaika kwake. pindi usikiapo hvyo jua muda wake wq chakula umewadia.
 
Nguruwe
Hawa ni wasafi sana, Bandani huchagua upande wa kujisaidia. Muda wote watajisaidia kona hiyo tu hata usafisha na kufanya msbadiliko gani bandani, kwao hapo ndio choo. Sijaona kitu hii kwa wanyama wengine
labda kwa mnyama pori flan anatabia ya kunya sehemu moja tuu yan hata awe wapi atakimbia had kwenye choo chale ndo atajisaidia hapo.
Mungu huyu dah
 
Ndio iko wazi nao wana hisia sana sanaaa
Mnyama kukurudishia uovu ni mara chache ukimtendea wema nao wana hisia
Ila wanyama pori mkuu hawaaminiki hata iweje.
maranyingi huwa na kubadilika badilika mfano Mambo.
yan we mfuge tuu ila huwez mwamin maana anaweza kukufanya kitoweo hata wewe.

simba. chui nao hawazoeleki maana hawawez poteza ile asili yao. kwahiyo wagugaji weng wamedhurika sana na hawa wanyama pindi walipotaka kuonesha wamezoeana nao

pia Mbwa jamii ya buldog hajawqh kuwa mnyama wa kuaminika.
yule anapaswa kuishi na mtu miaka mitano baada ya hapo aende kwa mfugaji mwingine mgeni la sivyo anaweza kukuua.

mbwa huyu ameua wamiliki wake weng kurokana na changamoto yake hii
 
Moja ya ufafanuzi mzuri, wazungu wanalijua hili na huwezi kuona mzungu anawanyanyasa wanayama hata wala wanyama hatarishi, tumeona hata nyoka wanakamata wanawarudisha polini ili waendelee kuishi.
 

[emoji28][emoji28][emoji28]
 

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] pole sana mkuu
 
Majibwa yenyewe ndio kama hili? Kuna watu wamechoka kuishi na sasa wanatafuta namna ya kurudisha namba kwa muumba kwa kweli, linaweza kukuchenjia anytime bora kufuga MBUZI utakula mchuzi
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] pole sana mkuu
Mimi nakushauri usijaribu kwa mustakabali wa afya yako mimi nilikuwa mdogo kwahiyo teke lilitua direct kwenye komwe..!

Sasa kama ukiwa mrefu mrefu obviously teke linaweza kutua kwenye pumbu au kifuani take care
 
Mkuu wanyama wa porini hawatabiriki na ndio maana wanaishi porini
Hata kwenye ma zoo haya wachungaji wale wanaotunza simba nao wamekuwa wakiliwa pia au kudhuriwa licha ya kuwatunza kwa muda mrefu .

Sometimes unakuta simba kwenye cage yupo depressed huwezi jua wewe unaenda kuleta masihara yako unaenda na maji.

Hata iweje mnyama wa porini kuna wakati ataikumbuka asili yake kwamba yeye sio wa kukaa kwenye cage tu Bali kuishi mwituni na kuwinda mwenyewe ..

Msifuge wanyama wa porini hana dhamana unakuta mtu anafuga fisi kweli? Si mpaka watoto wako wataliwa?
 
Moja ya ufafanuzi mzuri, wazungu wanalijua hili na huwezi kuona mzungu anawanyanyasa wanayama hata wala wanyama hatarishi, tumeona hata nyoka wanakamata wanawarudisha polini ili waendelee kuishi.
Sababu hata nyoka naye pia hakosi kumbukumbu kama ulimtendea unyama siku labda mtakutana hata porini atakugonga

Kwanza nyoka huwa havamii mtu kumgonga Bali wewe ndio unavamia njia yake ndipo ana attack
 
Inasemekana wanyama wanatabia ya kitaka mapenzi na wanyama. Tumewahi kusikia wafugaji wakitembea na wanyama na kulamatwa. Kuna nchi zimeruhusu kuingiliana na wamyama.
Je kuna ukweli ?
 
Ni ujinga tu! Kwani umelazimishwa kula hapo?andaa chakula chako nyumban gari ikisimama kwenye hivo vituo toa chako kula shida ipo wap?

Alafu kitu kingine upo safari safarini unakula kula ili iweje? Si unywe hata soda na biskuti ukifika unapokwenda utakula vizuri. Watu mnajiendekeza kula mataka taka ya njiani .

Binafsi ninapo safiri huwa nanua tende,maji na soda Basi mpka nafika silagi kitu kingine.

Nanunua tende kavu robo nakula mdogo mdogo na huwa sihisi njaa nikila tende nashushia soda tu na maji mpaka nafika.
 
Wanyama ni marafiki wazuri mno haswa mbwa, kuna wangu mmoja alikufa mpka nikatoa machozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…