Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Kwa hiyo wa mwaka 45 ndio vikongwe sana hata kwenye chat hatumo???
[emoji852][emoji19]
[emoji852][emoji19]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri wa wazazi wangu huuKwa hiyo wa mwaka 45 ndio vikongwe sana hata kwenye chat hatumo???
[emoji852][emoji19]
utaufikia tu usiogope.Umri wa wazazi wangu huu
31..ndio kwanza niponipo tu hata bei ya tofali siijui, maisha bwana yakiamua kukupa kisogo
Wakati wewe umezipata Dar...Wosia wangu una mstari mmoja tu.
"Kama mnataka mali mtazipata shambani".
[emoji16]Wakati wewe umezipata dar...
Asante chiefKila la kheri
Hata wewe litazama siku mojaMmmmh shangazi mbona kama jua linaelekea kuzama.
I knowutaufikia tu usiogope.
31..ndio kwanza niponipo tu hata bei ya tofali siijui, maisha bwana yakiamua kukupa kisogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati wewe umezipata Dar...
Siku zinaenda kwa kasi sana yaani sasa hivi 30 naona kabisa ilee naichungulia kwa mbali. Mpka huyu mzee atoke nitakuwa nimefikia.Hata wewe litazama siku moja
We acha tu mkuu, sikia tu kwa jirani haya mamboWe ni Zaidi hata bei ya tofali hujui?viwanja ndo itakuwaje
Hongera utumie vizuri ujana wakoSiku zinaenda kwa kasi sana yaani sasa hivi 30 naona kabisa ilee naichungulia kwa mbali. Mpka huyu mzee atoke nitakuwa nimefikia.