Uncle wa IVAN( baba) aomba msamaha kwa Zari

hata kama account inasoma "not to that extent" kajiremba balaa
Ndo misiba ya watu waloendelea hapo kenya tu cku ya mazishi hua mwenye uwezo wa kujiremba na kwenda saloon anaenda yaani hyo cku ni full kupendeza
 
Ila huyo jomba anastahili pongezi kwa kuona makosa yake na kukubali kujishusha mbele ya kadamnasi na kusema alikosea. Wengine wenye majivuno ya hali ya juu wasingethubutu kuomba samahani hadharani, au angefanya hivyo pembeni au kufa na tai yake shingoni pamoja na kujua alichokifanya si sawa sawa.

 
Siku akifa Mond ndio itakuwa shughuli maana ataachiwa mali zote ndio hawa wazaramo wa Kigoma watakesha na kulala Instagram
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji15]
 
Nadhani uncle alijilidhisha Mali zote zipo kwa jina la watoto. ......akaamua kusanda.
 
Sio Mume ni Mtalaka
 
Masikin siku zote ndio hulia zaid....hasa wew inaonekana maskin sana ndo maan hata nawazo yako yanakutuma kupiga ukunga
 
Akilia sna ndo atafufuka?
 
Ulitegemea? Like seriously? Watu wengne mnachekesha, eti nilitegemea...yeye maisha yake yanakuhusu nini? Wewe endelea kutegemea, ukimaliza kutegemea vya zari you can then mind your business
 
Good Morning Great thinkers ....!! R.I.P Ivan Leo utaramba mchanga rasmi,Allah akupunguzie adhabu ya kabri
 
Mj Mjomba naye anataka urithi , yaani mwanamme mzima anataka mteremko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…