Nenda youtube kuna video moja wanae ndio wanambembelezaWatu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.
account inasoma benk alie nini? angeachwa nyumba ya mkopo.gari ya mkopo watoto ada ya mkopo angebebeka kweli?
ila wanaume wetu acheni kukopa jamani kumbukeni kuna kesho
kukopa ni dhambi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]account inasoma benk alie nini? angeachwa nyumba ya mkopo.gari ya mkopo watoto ada ya mkopo angebebeka kweli?
ila wanaume wetu acheni kukopa jamani kumbukeni kuna kesho
hatutaki[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sasa hv tukikopa sain mtakua
Mnaweka nyie
Mnakataanga nn mbele ya pesahatutaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanyakyusa ndo wanachukua hadi vipaza sauti kupigilia yowe
zote nimeona na wewe kama umeziona huwezi kuzilinganisha na ndugu wa mme wa ivan wale wamama.Nenda youtube kuna video moja wanae ndio wanambembeleza
ni kweli kabisa nilitegemea povu likutoke asante kwa kuchangiaUlitegemea? Like seriously? Watu wengne mnachekesha, eti nilitegemea...yeye maisha yake yanakuhusu nini? Wewe endelea kutegemea, ukimaliza kutegemea vya zari you can then mind your business
Wivu na chuki binafsi zitawauwa mwaka huuu NA BADO...kama imekuuma sana meza wembe...ni kweli kabisa nilitegemea povu likutoke asante kwa kuchangia
ni kweli dear mimi mi maskini sana ila namshukuru mungu nina uwezo wa kula asubuhi na jion na kulala kwangu. Si unajua tena siku hizi matajiri majigambo kumbe bado anaishi kwa semeji.Masikin siku zote ndio hulia zaid....hasa wew inaonekana maskin sana ndo maan hata nawazo yako yanakutuma kupiga ukunga
ndo maana hawalii make up isiisheNdo misiba ya watu waloendelea hapo kenya tu cku ya mazishi hua mwenye uwezo wa kujiremba na kwenda saloon anaenda yaani hyo cku ni full kupendeza
full make up dah. Umeona watu wanavyotoa povu utafikiri ni vizuri?misiba ya kibosbosi hiyooo halii bali anachekelea
weeh tutake radhi wangoni....sifa hiyo wanayo wanyakyusa bhana...mi nikiendaga misibani kwao hata kama simjui marehemu huwa naliaUnataka alie kama wangoni?
Acha kukariri Mkuu,,Nani kakwambia kujigaragaza na ukunga ndo uchungu ,,uchungu mtu anajua rohoni mwake! Wabongo jaman mmezoea bongo movieWatu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.
Kulia sio ndio kigezo cha mtu kuumia sana. Hao unaowasema wamelia sana huwezi jua moyoni wanawaza kitu gani. Mwingine anaw3za kua analia sana kumbe kaona camera iko upande wake. Moral of the story, DON'T JUDGE A BOOK BY ITS COVER.full make up dah. Umeona watu wanavyotoa povu utafikiri ni vizuri?
Tajiri wa mitandaoni kaniponda eti mm masikini ndo maana nalia. Nimewaza hivi kwao kuna hata kaburi moja??
Wanaomboleza kizungukwa the woman tunaweza sema ok no more feelings at all je vipi kuhusu hao madogo? dry faces as if nothing serious happened duh..au nyie mnaonaje waungwana...anyways ya ngoswe tumuachie ngoswe.
kuna vitu lazima ukubaliane navyo tu hata upige tikitaka hawezi kurudi ni lazima azikwe,,, na wanaolia sana wanapoteza uchungu haraka .......hakuna mtu anayeumia kama yule anayekaaa kimya halii huwa anakaa na maumivu kwa mda mrefu sanaWatu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.