Uncle wa IVAN( baba) aomba msamaha kwa Zari

Uncle wa IVAN( baba) aomba msamaha kwa Zari

Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.

mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?

Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional

Apumzike ivan.
Nenda youtube kuna video moja wanae ndio wanambembeleza
 
account inasoma benk alie nini? angeachwa nyumba ya mkopo.gari ya mkopo watoto ada ya mkopo angebebeka kweli?
ila wanaume wetu acheni kukopa jamani kumbukeni kuna kesho

61324b0bfa24537995e3e7e0160cf051.jpg
 
account inasoma benk alie nini? angeachwa nyumba ya mkopo.gari ya mkopo watoto ada ya mkopo angebebeka kweli?
ila wanaume wetu acheni kukopa jamani kumbukeni kuna kesho
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sasa hv tukikopa sain mtakua
Mnaweka nyie
 
Ulitegemea? Like seriously? Watu wengne mnachekesha, eti nilitegemea...yeye maisha yake yanakuhusu nini? Wewe endelea kutegemea, ukimaliza kutegemea vya zari you can then mind your business
ni kweli kabisa nilitegemea povu likutoke asante kwa kuchangia
 
Vyo vyote itakavyo kua kuondokewa sio mchezo,mali sio kitu utu ndio muhimu,mwenyezi mungu ampe nguvu zakuweza kulea watoto wake kwani watoto ndio hua affected sanaa,sijui kama kuna mtu anaona hili,kufiwa jambo jengine hata adui wako usimuombe msiba..
 
Masikin siku zote ndio hulia zaid....hasa wew inaonekana maskin sana ndo maan hata nawazo yako yanakutuma kupiga ukunga
ni kweli dear mimi mi maskini sana ila namshukuru mungu nina uwezo wa kula asubuhi na jion na kulala kwangu. Si unajua tena siku hizi matajiri majigambo kumbe bado anaishi kwa semeji.

Asante kuchangia tajiri
 
Daah kwa iyo mondi anakua baba wa watoto watano sasa! Awapeleke wasafi wakajifunze bongo flavour maisha yaendeleee
 
misiba ya kibosbosi hiyooo halii bali anachekelea
full make up dah. Umeona watu wanavyotoa povu utafikiri ni vizuri?

Tajiri wa mitandaoni kaniponda eti mm masikini ndo maana nalia. Nimewaza hivi kwao kuna hata kaburi moja??
 
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.

mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?

Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional

Apumzike ivan.
Acha kukariri Mkuu,,Nani kakwambia kujigaragaza na ukunga ndo uchungu ,,uchungu mtu anajua rohoni mwake! Wabongo jaman mmezoea bongo movie
acha tuu povu linitoke nimejiskia vibaya sana,, ww huna tofauti na ndugu wa ivan wazee wa judgement badala kuacha msiba uishe
NB: povu la moyoni liheshimiwe
 
full make up dah. Umeona watu wanavyotoa povu utafikiri ni vizuri?

Tajiri wa mitandaoni kaniponda eti mm masikini ndo maana nalia. Nimewaza hivi kwao kuna hata kaburi moja??
Kulia sio ndio kigezo cha mtu kuumia sana. Hao unaowasema wamelia sana huwezi jua moyoni wanawaza kitu gani. Mwingine anaw3za kua analia sana kumbe kaona camera iko upande wake. Moral of the story, DON'T JUDGE A BOOK BY ITS COVER.

Hata hapa bongo ipo misiba ambayo watu hawagaligali na wafiwa hawavai rafu. Wanavaa nguo nyeusi na full makeups. So inategemea na society madam
 
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.

mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?

Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional

Apumzike ivan.
kuna vitu lazima ukubaliane navyo tu hata upige tikitaka hawezi kurudi ni lazima azikwe,,, na wanaolia sana wanapoteza uchungu haraka .......hakuna mtu anayeumia kama yule anayekaaa kimya halii huwa anakaa na maumivu kwa mda mrefu sana
 
Back
Top Bottom