Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

Bwana'we.

Nilicho baini kuna wanao toa taharifa halisi kabisa ambazo kiualisia ni aibu na ni kituko cha karne na kuna wanao toa taharifa za kutaka kufunika kombe, mashuhuda muhimu kabisa wenye maelezo mazuri zaidi wamesha rest in peace
Kama mleta Uzi. Analeta taarifa za kupotosha kabisa
 
Pambazuko wamemzidi PM kwa maelezo
 
Nimepoteza shemeji yaani mke wa jamaa yangu kwenye hii ajali. Amefariki yeye na dada yake
Ni tragedy kubwa
 
Jio

Kwann unaamini ule uzi mwngne na sio huu,, umewahi panda ndege Kwanza😆
 
Jio


Kwann unaamini ule uzi mwngne na sio huu,, umewahi panda ndege Kwanza[emoji38]
Kwanini wewe umeuamini uzi huu na sio ule[emoji1787][emoji1787] unapandaga ungo nini mkuu
 
Uzoefu ulimdanganya. Na matokeo yake akajua kafikia runway kumbe yupo kwenye maji. Ukungu huo.
 
Sasa huyo Richar komba mbona hayupo kwenye list ya waliookolewa.
 
Kawaida hali ya hewa inapokuwa mbaya Bukoba, ndege hurudi mwanza. Mimi ilishanitokea hivyo tukiwa na ATCL.
Uamuzi wa kulazimisha kutua katika hali hiyo ya hewa haukuwa sahihi au kuna sababu nyingine iliyomlazimisha rubani ajaribu hivyo alivyofanya.
 
Kama ni hivyo basi bado kuna shida sana. Kama alishabaini tairi hazifunguki, basi hapakuwa na sababu kubwa ya kendelea kuzurura juu kwa juu, uamuzi mzuri ulikuwa ni kurudi mwanza penya uwanja mkubwa na vifa zaidi. Muda wa kutoka bukoba kurudi mwanza ungetosha mwanza kujiandaa, na hao ndiyo wangemwambia tua sehemu fulani ndipo tumejiandaa kwa uokozi. Wanamwelekeza atue bukoba eti wameshajiandaa - Huo ni utani
 
Kawaida hali ya hewa inapokuwa mbaya Bukoba, ndege hurudi mwanza. Mimi ilishanitokea hivyo tukiwa na ATCL.
Uamuzi wa kulazimisha kutua katika hali hiyo ya hewa haukuwa sahihi au kuna sababu nyingine iliyomlazimisha rubani ajaribu hivyo alivyofanya.
hatujui policy ya precision inasemaje kuhusu hili, lakini Rubani ana uwezo wa kuamua chochote for the better.
 
Uzoefu ulimdanganya. Na matokeo yake akajua kafikia runway kumbe yupo kwenye maji. Ukungu huo.
hili watu hawataki kuliongelea, kifupi uamuzi wa rubani umeghalimu maisha yake na ya wengine pia, sababu ndege ikiwa juu mwamuzi wa mwisho wa nini kifanyike huwa ni yeye tu - control tower ni mshauri tu.
 
Nivimbwanga! Kwa mujibu wa mtoa post hiyo alidai huyo rubani alipo toa taarifa wao ndio walio muelekeza akaogelee kua wapo nyuma yake kwenda kuwaokoa ss naona baada ya kupata kibali hicho ndugu yetu alitua haraka kuliko hiyo timu ya uokoaji kufika labda alitakiwa a delay kidogo watu wajipange ila yeye kachumpa, we never know. Hamna habari ya uhakika saana kuhusu hii sinema ndio maana nikasema ni vizuri kama tungepata kusikia kutoka kwa BLACK BOX hata wakificha taarifa zake wakina GENTOMICINE na KIGOGO watatuletea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…