Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

Uzoefu ulimdanganya. Na matokeo yake akajua kafikia runway kumbe yupo kwenye maji. Ukungu huo.
Kuna kitu hakiko sawa, ile ndege kama angekosea kutua lazima pua ingekuwa juu
 
ni kweli watachunguza ila kwa sisi ma kapuku kujua nini kilitokea ni ndoto. Mkuu wa mkoa wa mwanza alisema kuwa bado walikuwa na mawasiano na rubani, then tunaambia rubani wote wamefariki, hapo maswali ni mengi kuliko majibu.

Mambo mengine ni ya kuacha tu, ukitaka kuyajua yatakuletea shida.
Aliyevunja kioo na kufungua mlango wa emergency anasema aliona marubani wanamwambia avunje kioo ila hakuweza sababu aliishiwa nguvu
 
“OBJECTIVE OF THE INVESTIGATION

The sole objective of the investigation of an accident or incident shall be the prevention of accidents and incidents. It is not the purpose of this activity to apportion blame or liability.”
Kwny natgeo kuna kipindi kinaitwa aircrash investigation unaangaliaga! [emoji15]
 
Kwa maelekezo aliambiwa akachumpe humo, kua wamesha jipanga 1st respond kwa mujibu wa uzi huo
Mbele pasingekuwa chini sababu mbele ndo huwa pepesi kwani hakunaga mizigo. Kuna kitu hatujui ni hitilafu au lah
 
Kwny natgeo kuna kipindi kinaitwa aircrash investigation unaangaliaga! Alafu angalia matakwa ya mtoa uzi hapo juu (sio matako ni matakwa) [emoji15]
sawa bora majibu sahihi na kwa wakati
 
Mbele pasingekuwa chini sababu mbele ndo huwa pepesi kwani hakunaga mizigo. Kuna kitu hatujui ni hitilafu au lah
Hata waziri mkuu wetu aligusia hili, kua na mashaka ya uelekeo wa ndege yenyewe
 
Kwa maelezo ya yule mwamba kuna watu wa serekali ndio walimnyima kuvunja kioo sio kwamba nguvu zilimwisha
Sababu angevunja maji hata hao wengine wangekufa sababu kwa maelezo yao ni kuwa maji yalishaanza jaa
 
Waziri mkuu alikua na mashaka ya ndege kutua maana ile imetua kutokea kyaka na wakati ndege hua zinatua kutokea ziwani
Yeap! Hivyo iyo story behind ndio yenye madudu na tungependa mwenye madudu yake awajibishwe kama ni control tower tujue kama ni rubani RIP hukumu yake tuijue kama ni kampuni tujue! Hawa wa uokozi tumesha wajua
 
yaani wamekaa kama tai wanavosubilia mzoga alafu mishahara kibao posho kedekede matumbo mbele, daaah mungu azidi kutulinda tusiojiweza
 
Mwenyezi Mungu ninayemjua mimi hawezi kubariki maafa ya wanadamu anaowapenda, kukubali mapungu pamoja na uzembe ni kitu kizuri ili kujifunza siku za usoni ili kisijitokeze tena.
 
Yeap! Hivyo iyo story behind ndio yenye madudu na tungependa mwenye madudu yake awajibishwe kama ni control tower tujue kama ni rubani RIP hukumu yake tuijue kama ni kampuni tujue! Hawa wa uokozi tumesha wajua
kulikuwa na mawasiliano kati ya waongoza ndege na rubani pale uwanjani, lakini uamuzi wa mwisho huwa ni wa rubani mwenyewe wakati ndege ikiwa bado haija land.

Sasa kwa nini ilikuwa ni lazima afanye emergency landing hapo hatujui, maana kwa akili za kawaida emergency landing hufanyika kama kila option imeshashindikana.
 
hili watu hawataki kuliongelea, kifupi uamuzi wa rubani umeghalimu maisha yake na ya wengine pia.
Huyo rubani mbona jana alitangazwa kunusurika, isipokuwa mwenzake msaidizi ambaye ni raia wa Kenya?

Iweje leo naye tusikie kadanja, mjanganyiko gani huu sasa?
 
Back
Top Bottom