Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

Kuna uwezekano mkubwa wa "Human Error" katika hii ajali, nakaribu asilimia 90 za ajali za Ndege duniani ni Human Error, makosa ya Kibinadamu. Na human Error inakuja pale kukiwa na mchanganyiko wa vitu vingi, mfano pale hali ya hewa ilikuwa mbaya, Rubani Kama binadamu akalazimisha kuwa na Option mbili, moja kulazimisha kutua kwa uzoefu, ya pili kurejea Mwanza kusubiri hali ya hewa itengemae.

Taratibu za Ndege Hazina option mbili, Kama hali ya hewa Ni mbaya unatakiwa tu, utafute uwanja mwingine. Ila Rubani ni binadamu akachagua kuwa na Option mbili, ambayo moja huwa ni Risk Sana, kwani iki shindwa inakuwa Disaster, hiyo ya kutumia uzoefu kutua kwa kulazimisha, hatujui zaidi kilichotokea ila mpaka black box, ila inaonekana baada ya kushindwa kutua kwa uzoefu,

Aliamua Take Off Go Around, rugha Yao, yaani kuacha kutua na aelekee Mwanza, au ajaribu Tena, na ndio maana aliingiza tairi, ili azunguke Tena, Hapo Sasa ndio, sababu za kitaalam Zina kuja, pengine hakukamilisha Go Around Procedure na Kusababisha Ndege ika "Stall" na kuangukia Ziwani, au Kwa vile Ndege ilikuwa kwenye low Attitude ukichanganya na hali ya hewa kuwa mbaya Sana,

Basi Go Around iligoma, na Ndege ika "Stall" na kuangukia Ziwani, Ndio maana wenzetu waliweka Black Boxes kwa ajili ya kugundua nn kilitokea hapo, Ndege haikuwa na Shida, ndio maana Rubani hakuita Mayday Mayday ! Ila aliripoti kuwa Ni hali ya hewa tu.

" Human Error" Zina sababisha ajali nyingi za Ndege Duniani, ila tukumbuke, Usafiri wa Ndege ndio salama kuliko Usafiri wowote Duniani,. Lakini Sasa Kuna hicho kitu. "Human Error" Rubani Siyo malaika, anaweza kufanya mistake anytime hasa, Hawa wanaojiita Wazoefu, Kujiamini huwa Kuna wa Cost Sana, na Kuwa Cost watu Wengine. Nashauri tusubirie majibu ya Black Boxes
Kama ni uzembe mkubwa na kuna watu wanatakiwa kuwajibika watapoteza black box
 
Rubani alikosea sana
Serikali kwa uzembe wa miaka yote inaendelea kufanya makosa makubwa yale yale haina hata vifaa na watu 100 tu wa kuokoa majanga kama haya??? Tangu Mv BUKOBA???
 
Back
Top Bottom