Undisputed Truth: Pengine Ommy Dimpoz akawa ndo msanii anaemiliki mwanamke mrembo kuliko wote Tanzania

Hivi mtu unajuaje kuwa mwanamke fulani ni mrembo au si mrembo
 
Diamond ndio alimiliki wanawake warembo kina zari, mobeto, natasha na wema, hata huyu zuchu ni mrembo. Wanaofuatia kumiliki wanawake warembo ni majizo na bilnas, nandy na lulu si wa kuchulia poa
Huyo wa Ommy Dimpoz unamjua au umeandika kwa ushabiki? Hao akina Zari sijui Mobeto wote ni Maex
 
Wewe itakuwa ni Omary mwenyewe umekuja kujisafisha hapa...
 
Naona alitaka kuandika ugonile
...na bado atabisha, maana hiki kizazi cha siku hizi kinapotosha kila kitu. Badala ya kuandika inavotakiwa, wenyewe wanaandika inavyotamkwa. Makabila yote lugha zao zina namna ya kuandika na namna ya kutamka, kinyakyusa cha siku hizi sababu ya ulimbukeni wao ndiyo pekee hawatofautishi na matokeo yake maandishi yanakua na miherufi mingi bila sababu.
 
Wengi hawasomi vitabu au hata Biblia ya kinyakyusa inakuwa ngumu kujua lakini ni wepesi kuleta ubishi, ni juzi tu mtu nimemuelekeza kuhusu hilo akaishia kuniambia "mjuaji"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…