Undumilakuwili huu wa TEC na Kitime mpaka lini?

Kwenye Usiri wa kilichozungumzwa hapo mie nakuunga Mkono...Nyaraka za TEC kwa Serikali na kwa jambo lolote lisilo sawa,zimekuwa ni za wazi tangu enzi na enzi...Ni huu tu umekuwa ni siri wa kilichomo ..zimetajwa tu KURASA kwamba ziko NNE..na wananasema Wananchi wavute subira yote yatafanyiwa kazi na Serikali ila hayajulikani ni yapi ..!! hiyo ni sitaili ya kuongea na watoto/ danganya..ya kuwasubirisha zawadi isiyofahamika..

Ila Mkuu unahaki ya kuwapuuza tu na kuwapotezea TEC na ukaendelea na pilika zako..
Utaumiza kichwa bure....
Wana uhuru wa kujificha kwenye Maandiko...kwamba wanatekeleza zile heri nane za kwenye Biblia..kuna Moja inasema -Heri Wapatanishi.maana hao watamuona Mungu.-...hata kama wamepeleka kule mambo yao binafsi ya Kikanisa..maana nao wanachangamoto Kibao za Kitaasisi ukiwemo Ugumu wa Maisha Kiuchumi na Ki utume..
 
KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI

Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao? Mbona hatuwasikii Anglican, BAKWATA, KKKT na wenzao wakitueleza mambo Yao kama Taifa?

Hii ni moja ya upotofu ndani ya TEC. Lazima wajue hatujawaomba watuwakilishe au kutusemea. Hatuna haja na huduma yao.

Lakini tutizame unafiki wao.

Kitima alijitokeza almost kila wiki kabla na baada ya uhalifu wa oktoba 29. Kitima alishiriki Moja Kwa Moja zoezi la kumuondoaha mlutheri Mbowe na kumpa kiti mkatoliki Lissu. Kitima aliaminisha waumini wake kuwa bandari wamepewa waislamu eti kwa kuwa raisi ni mwislamu toka Zanzibar. Kitima akitoka hadharani na kupinga uchaguzi kama kwamba TEC ni chama cha siasa.

Baada ya uhalifu alidai maridhiano hayatawezekana mpaka kwanza "wauaji" wawajibishwe". Kwake Kitima "wauaji" ni waliofyatua risasi tu. Akasahau aliyewahamasisha vijana wapore na kuchoma mali ndio wauaji halisi. Yaani hata yeye na TEC ni wauaji.

Baada ya kuona hoja zao zimepuuzwa na mbinu zao zimegonga mwamba wao wenyewe wakaomba kuonana na Mkuu wa nchi ambaye hapo swali Kitima hakuona Soni kudai eti "ameingia madarakani kwa damu za watu"!

Kitima sasa anadai TEC inamtambua mkuu wa nchi na eti raisi ameingia madarakani kwa mujibu wa katiba! Sasa anamsifia eti amewakubalia ombi la kukutana na amewapokea vizuri. Na eti mazungumzo yalikuwa ya mafanikio makubwa!

Sasa Kitima na TEC yake anataka kutuambia wanaodai raisi ni batili na serikali ni haramu wanakosea? Ufahamu kuwa yupo raisi tena halali umemjia Kitima na TEC lini?

Kitima na TEC ni watu wa kuwasikiliza lakini sio kuwaamini au kuzingatia kauli zao mpya. Hawa wamegundua kuwa kukaa nje ya majadiliano kutawaumiza zaidi. Wanataka washiriki. Tuwashirikiahe lakini kamwe tusikubali kuwa wanaweza kuwa wasuluhishi. Hawa tayari walijidhihirisha wako upande mmoja na CHADEMA. Kina Kitima wamejua Heche na chadema wanafanya kosa na maridhiano yataenda bila wao. Wanataka kuziba pengo la CHADEMA kwenye maridhiano. Hawana nia njema. Washiriki kama wawakilishi wa CHADEMA. Wasijifanye wanakuja kusimamia haki kama anavyodai Kitima.

Tunaomba serikali iweje wazi waraka waliokabidhi Ikulu ili site tujue wanataka nini. Waraka huu isiwe Siri. Kitima anadai unaizungumzia maslahi ya wote na mustakabali wa Taifa. Eti unatoa mwarobaini wa "mkwamo wa kisiasa" uliopo nchini. Tunataka tujue huo mwarubaini na huo mkwamo wanaouzungumzia. Je wanapendekeza kibaraka wao atolewe jela? Je wanataka bandari isibinafsishwe kwa DPW? Je wanataka uchaguzi urudiwe? Je wanataka Katiba mpya iliyoje? n.k.

Haiwezekani pawepo mambo ambayo wanayoyajua ni Kitima na TEC na serikali peke yao. La sivyo na wengine nao kama kina Mwaipopo, Askofu Shoo au Malasusa nao wakabidhi waraka kwa rais?

Nb:
Moderator acheni unafiki
Ili kupata majibu sahihi,bado hili jukwaa halikufai(kuna uwezekano umetumwa)/haliwafai. Mtafute padre Kitima uso kwa macho umueleze hayo. Hapa JF wa kumjibia hizo hoja zote hayupo.Mdini mkubwa wewe!
 
ROMA LOCUTA CAUSA FINITA
 
Kwanini waliofyatua risasi walitembelea mikoa yote ya bara hata ile isiyokuwa na vurugu lakini hawakugusa hata kata/shehia moja huko zanjibar?
 
Utasikia mleta uzi anaitwa BAKARI au Halfan
Tutoe hoja tuachie viloja, sijaelewa Kuna vitu nyeti umesema

Kwamba TEC ndo walomchagua Tundu lisu kuwa mwenyekiti WA CHADEMA .sijui kama NAO walipiga kura

TEC ndo waliohamasisha watu kuandamana ili wakauwawe mhh

Mbona BAKWATA, KKT na anglikana hawatoi matamko. Ni kweli LAKINI kuna baadhi ya viongozi wao wanakemea haya yanayoendelea. Tukumbuke kuwa haya ni makundi tofauti. Hata uelewa na uwezo WA kuchanganua mambo ni tofauti, pia kuna sera elimu na miongozo

Mwisho umesema kwasababu kiongozi WA Sasa ni mulslamu. Hoja yako hapa ni TEC na serikali inayoongozwa na muislamu. Huo ni udini unakutafuna. Mimi nafikiri ungejiuliza hayo wanayoyasema hayapo?, mfano watu hawatekwi?

TEC= ROMAN CATHOLIC ni dude kubwa usilidharau
Waziri wa maswala ya nje wa nchi ya marekani baada ya vituko vyote alivyofanya bosi wake, mwisho WA siku alijisalimisha VATICAN. Hata Mimi sijui ni Kwa nini?
 
Father Kitima kausika kuondoshwa kwa Mzee mbowe Chadema na ivyo matokeo ya Viongozi wapya wa Chadema kuwapeleka wanachama kwenye Mapambano yaliopekea Vifo vya watoto 500+

nayeye Father Kitima yumo kwenye iyo zambi 👈

Nisawa tu na Mashekh wa kipindi cha Benjamin William Mkapa nao wameshiriki zambi ya kufanana na ya Father Kitima ❗️
Kuwachochea kwanamna mbali mbali ikiwemo kutoa Matamko watoto waumini kwenda kwenye Mapambano na Mapolisi wenye silaha za Moto👈

Kama sio Father Kitima fahamu Tundu Lissu hasingeweza kumng'oa Mzee mbowe

Kumbuka Father Kitima na Tundu Lissu sio tu wote ni Wakatoliki👈

lkn zaidi ni kabila moja
from Singida

Kumbuka pia Sababu za kanisa katoliki mwaka 2015 kupitia Dk Slaa kumuunga mkono Rip JPM
Ni vile ni Mkatoliki mwenzao✅️

Wkt ndugu Rip Edward Lowassa ni KKKT

Kama aya ulikuwa uyajui unatakiwa kupunguza Utoto na kuacha kutukana wakubwa Jamii forum👈

Yumkin wakubwa wapo kukuelimisha wewe
kukujenga ww kiuwelewa✍️
Unakazwa springs kichwani wewe!
 
You Nailed it hayo mambo alitakiwa kuongelea kanisani kwake the word watanzania linakua miss-used alitakiwa kusema wakatoliki
 
KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI

Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao? Mbona hatuwasikii Anglican, BAKWATA, KKKT na wenzao wakitueleza mambo Yao kama Taifa?

Hii ni moja ya upotofu ndani ya TEC. Lazima wajue hatujawaomba watuwakilishe au kutusemea. Hatuna haja na huduma yao.

Lakini tutizame unafiki wao.

Kitima alijitokeza almost kila wiki kabla na baada ya uhalifu wa oktoba 29. Kitima alishiriki Moja Kwa Moja zoezi la kumuondoaha mlutheri Mbowe na kumpa kiti mkatoliki Lissu. Kitima aliaminisha waumini wake kuwa bandari wamepewa waislamu eti kwa kuwa raisi ni mwislamu toka Zanzibar. Kitima akitoka hadharani na kupinga uchaguzi kama kwamba TEC ni chama cha siasa.

Baada ya uhalifu alidai maridhiano hayatawezekana mpaka kwanza "wauaji" wawajibishwe". Kwake Kitima "wauaji" ni waliofyatua risasi tu. Akasahau aliyewahamasisha vijana wapore na kuchoma mali ndio wauaji halisi. Yaani hata yeye na TEC ni wauaji.

Baada ya kuona hoja zao zimepuuzwa na mbinu zao zimegonga mwamba wao wenyewe wakaomba kuonana na Mkuu wa nchi ambaye hapo swali Kitima hakuona Soni kudai eti "ameingia madarakani kwa damu za watu"!

Kitima sasa anadai TEC inamtambua mkuu wa nchi na eti raisi ameingia madarakani kwa mujibu wa katiba! Sasa anamsifia eti amewakubalia ombi la kukutana na amewapokea vizuri. Na eti mazungumzo yalikuwa ya mafanikio makubwa!

Sasa Kitima na TEC yake anataka kutuambia wanaodai raisi ni batili na serikali ni haramu wanakosea? Ufahamu kuwa yupo raisi tena halali umemjia Kitima na TEC lini?

Kitima na TEC ni watu wa kuwasikiliza lakini sio kuwaamini au kuzingatia kauli zao mpya. Hawa wamegundua kuwa kukaa nje ya majadiliano kutawaumiza zaidi. Wanataka washiriki. Tuwashirikiahe lakini kamwe tusikubali kuwa wanaweza kuwa wasuluhishi. Hawa tayari walijidhihirisha wako upande mmoja na CHADEMA. Kina Kitima wamejua Heche na chadema wanafanya kosa na maridhiano yataenda bila wao. Wanataka kuziba pengo la CHADEMA kwenye maridhiano. Hawana nia njema. Washiriki kama wawakilishi wa CHADEMA. Wasijifanye wanakuja kusimamia haki kama anavyodai Kitima.

Tunaomba serikali iweje wazi waraka waliokabidhi Ikulu ili site tujue wanataka nini. Waraka huu isiwe Siri. Kitima anadai unaizungumzia maslahi ya wote na mustakabali wa Taifa. Eti unatoa mwarobaini wa "mkwamo wa kisiasa" uliopo nchini. Tunataka tujue huo mwarubaini na huo mkwamo wanaouzungumzia. Je wanapendekeza kibaraka wao atolewe jela? Je wanataka bandari isibinafsishwe kwa DPW? Je wanataka uchaguzi urudiwe? Je wanataka Katiba mpya iliyoje? n.k.

Haiwezekani pawepo mambo ambayo wanayoyajua ni Kitima na TEC na serikali peke yao. La sivyo na wengine nao kama kina Mwaipopo, Askofu Shoo au Malasusa nao wakabidhi waraka kwa rais?

Nb:
Moderator acheni unafiki
HUyo kitima ana husda sana yaan kuongozwa na mwanamke halafu muislam inamuuma sana anatamani ardhi ipasuke atumbukie
 
Ukiacha Wakatoliki 👈

Vijana wa kutokea KKKT Anglican Wasabato Pentecost nk. awa wangekuwa na uwelewa kujua muundo wa ulivo Siasa zinavyoendq wangekuwa kila kipindi Rais ni zamu ya Muislamu wangetakiwa kuungana nae kumuunga mkono kwa dhati kabisa👈

Sababu ndipo kipindi ayo madhehebu yote nayo yanapata kuteuliwa kushika nafasi kubwa kubwa

mfano rip Jaji Mkuu Augustino ramadhani uyu ni kutokea Anglican nk.
Alichaguliwa na Jakaya kikwete
Mfano mmoja
Lkn ipo mingi👈

Sio Raisi
Rais awe Mkatoliki na achague mtu wa cheo kikubwa na sio kutokea Ukatoliki ukweli aibu
hawanaga kabisa👈

So ayo madhehebu mengine yangejua vizuri mpangilio jinsi ulivyo yangesimama na Rais muislamu kila temu yake mana ndio pona yao ndipo nawao wanatembea kifua mbele 👈

mitandao mingi kuna wafuasi wa katoliki wapo kujipigania
wao tu👈

Nyinyi wengine nikama Bendera fata upepo au kufuata mkumbo kwa faida ya wengine wasiokuunga mkono wkt wowote ✍️
 
Haya mapuuzi yanayoswali huku yamebinua mikvndu juu kama popo na sigida usoni kama yameunguzwa na pasi hayajawahi kuwa na akili .Mbwa takataka hizi . Tanzania inaangamizwa na mbegu ya ibilisi hawa jihadists mataahira toka Zanzibar na misukule yao ya huku . Takataka kabisa
Hili tusi nimelipenda ahsante kwa hilo tusi nipe tusi lingine tena
 
KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI

Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao? Mbona hatuwasikii Anglican, BAKWATA, KKKT na wenzao wakitueleza mambo Yao kama Taifa?

Hii ni moja ya upotofu ndani ya TEC. Lazima wajue hatujawaomba watuwakilishe au kutusemea. Hatuna haja na huduma yao.

Lakini tutizame unafiki wao.

Kitima alijitokeza almost kila wiki kabla na baada ya uhalifu wa oktoba 29. Kitima alishiriki Moja Kwa Moja zoezi la kumuondoaha mlutheri Mbowe na kumpa kiti mkatoliki Lissu. Kitima aliaminisha waumini wake kuwa bandari wamepewa waislamu eti kwa kuwa raisi ni mwislamu toka Zanzibar. Kitima akitoka hadharani na kupinga uchaguzi kama kwamba TEC ni chama cha siasa.

Baada ya uhalifu alidai maridhiano hayatawezekana mpaka kwanza "wauaji" wawajibishwe". Kwake Kitima "wauaji" ni waliofyatua risasi tu. Akasahau aliyewahamasisha vijana wapore na kuchoma mali ndio wauaji halisi. Yaani hata yeye na TEC ni wauaji.

Baada ya kuona hoja zao zimepuuzwa na mbinu zao zimegonga mwamba wao wenyewe wakaomba kuonana na Mkuu wa nchi ambaye hapo swali Kitima hakuona Soni kudai eti "ameingia madarakani kwa damu za watu"!

Kitima sasa anadai TEC inamtambua mkuu wa nchi na eti raisi ameingia madarakani kwa mujibu wa katiba! Sasa anamsifia eti amewakubalia ombi la kukutana na amewapokea vizuri. Na eti mazungumzo yalikuwa ya mafanikio makubwa!

Sasa Kitima na TEC yake anataka kutuambia wanaodai raisi ni batili na serikali ni haramu wanakosea? Ufahamu kuwa yupo raisi tena halali umemjia Kitima na TEC lini?

Kitima na TEC ni watu wa kuwasikiliza lakini sio kuwaamini au kuzingatia kauli zao mpya. Hawa wamegundua kuwa kukaa nje ya majadiliano kutawaumiza zaidi. Wanataka washiriki. Tuwashirikiahe lakini kamwe tusikubali kuwa wanaweza kuwa wasuluhishi. Hawa tayari walijidhihirisha wako upande mmoja na CHADEMA. Kina Kitima wamejua Heche na chadema wanafanya kosa na maridhiano yataenda bila wao. Wanataka kuziba pengo la CHADEMA kwenye maridhiano. Hawana nia njema. Washiriki kama wawakilishi wa CHADEMA. Wasijifanye wanakuja kusimamia haki kama anavyodai Kitima.

Tunaomba serikali iweje wazi waraka waliokabidhi Ikulu ili site tujue wanataka nini. Waraka huu isiwe Siri. Kitima anadai unaizungumzia maslahi ya wote na mustakabali wa Taifa. Eti unatoa mwarobaini wa "mkwamo wa kisiasa" uliopo nchini. Tunataka tujue huo mwarubaini na huo mkwamo wanaouzungumzia. Je wanapendekeza kibaraka wao atolewe jela? Je wanataka bandari isibinafsishwe kwa DPW? Je wanataka uchaguzi urudiwe? Je wanataka Katiba mpya iliyoje? n.k.

Haiwezekani pawepo mambo ambayo wanayoyajua ni Kitima na TEC na serikali peke yao. La sivyo na wengine nao kama kina Mwaipopo, Askofu Shoo au Malasusa nao wakabidhi waraka kwa rais?

Nb:
Moderator acheni unafiki
Hamjawatuma TEC sawa, Ukinionesha ni wapi umemkemea Mwaipopo najiua
 
Back
Top Bottom