Undumilakuwili huu wa TEC na Kitime mpaka lini?

Kwenye Usiri wa kilichozungumzwa hapo mie nakuunga Mkono...Nyaraka za TEC kwa Serikali na kwa jambo lolote lisilo sawa,zimekuwa ni za wazi tangu enzi na enzi...Ni huu tu umekuwa ni siri wa kilichomo ..zimetajwa tu KURASA kwamba ziko NNE..na wananasema Wananchi wavute subira yote yatafanyiwa kazi na Serikali ila hayajulikani ni yapi ..!! hiyo ni sitaili ya kuongea na watoto/ danganya..ya kuwasubirisha zawadi isiyofahamika..

Ila Mkuu unahaki ya kuwapuuza tu na kuwapotezea TEC na ukaendelea na pilika zako..
Utaumiza kichwa bure....
Wana uhuru wa kujificha kwenye Maandiko...kwamba wanatekeleza zile heri nane za kwenye Biblia..kuna Moja inasema -Heri Wapatanishi.maana hao watamuona Mungu.-...hata kama wamepeleka kule mambo yao binafsi ya Kikanisa..maana nao wanachangamoto Kibao za Kitaasisi ukiwemo Ugumu wa Maisha Kiuchumi na Ki utume..
Wakipewa hela tu kimya
 
Sijasoma mpaka mwisho inatosha kusema wewe ni kilaza hatari sana kutokea kwenye nchi hii, chawa ambaye anajaribu kuunganisha hoja kwa njia za hovyo kabisa, hasara sana kwa baba yako ni bora angelipiga punyeto kuliko kukuzaa wewe
 
KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI

Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao? Mbona hatuwasikii Anglican, BAKWATA, KKKT na wenzao wakitueleza mambo Yao kama Taifa?

Hii ni moja ya upotofu ndani ya TEC. Lazima wajue hatujawaomba watuwakilishe au kutusemea. Hatuna haja na huduma yao.

Lakini tutizame unafiki wao.

Kitima alijitokeza almost kila wiki kabla na baada ya uhalifu wa oktoba 29. Kitima alishiriki Moja Kwa Moja zoezi la kumuondoaha mlutheri Mbowe na kumpa kiti mkatoliki Lissu. Kitima aliaminisha waumini wake kuwa bandari wamepewa waislamu eti kwa kuwa raisi ni mwislamu toka Zanzibar. Kitima akitoka hadharani na kupinga uchaguzi kama kwamba TEC ni chama cha siasa.

Baada ya uhalifu alidai maridhiano hayatawezekana mpaka kwanza "wauaji" wawajibishwe". Kwake Kitima "wauaji" ni waliofyatua risasi tu. Akasahau aliyewahamasisha vijana wapore na kuchoma mali ndio wauaji halisi. Yaani hata yeye na TEC ni wauaji.

Baada ya kuona hoja zao zimepuuzwa na mbinu zao zimegonga mwamba wao wenyewe wakaomba kuonana na Mkuu wa nchi ambaye hapo swali Kitima hakuona Soni kudai eti "ameingia madarakani kwa damu za watu"!

Kitima sasa anadai TEC inamtambua mkuu wa nchi na eti raisi ameingia madarakani kwa mujibu wa katiba! Sasa anamsifia eti amewakubalia ombi la kukutana na amewapokea vizuri. Na eti mazungumzo yalikuwa ya mafanikio makubwa!

Sasa Kitima na TEC yake anataka kutuambia wanaodai raisi ni batili na serikali ni haramu wanakosea? Ufahamu kuwa yupo raisi tena halali umemjia Kitima na TEC lini?

Kitima na TEC ni watu wa kuwasikiliza lakini sio kuwaamini au kuzingatia kauli zao mpya. Hawa wamegundua kuwa kukaa nje ya majadiliano kutawaumiza zaidi. Wanataka washiriki. Tuwashirikiahe lakini kamwe tusikubali kuwa wanaweza kuwa wasuluhishi. Hawa tayari walijidhihirisha wako upande mmoja na CHADEMA. Kina Kitima wamejua Heche na chadema wanafanya kosa na maridhiano yataenda bila wao. Wanataka kuziba pengo la CHADEMA kwenye maridhiano. Hawana nia njema. Washiriki kama wawakilishi wa CHADEMA. Wasijifanye wanakuja kusimamia haki kama anavyodai Kitima.

Tunaomba serikali iweje wazi waraka waliokabidhi Ikulu ili site tujue wanataka nini. Waraka huu isiwe Siri. Kitima anadai unaizungumzia maslahi ya wote na mustakabali wa Taifa. Eti unatoa mwarobaini wa "mkwamo wa kisiasa" uliopo nchini. Tunataka tujue huo mwarubaini na huo mkwamo wanaouzungumzia. Je wanapendekeza kibaraka wao atolewe jela? Je wanataka bandari isibinafsishwe kwa DPW? Je wanataka uchaguzi urudiwe? Je wanataka Katiba mpya iliyoje? n.k.

Haiwezekani pawepo mambo ambayo wanayoyajua ni Kitima na TEC na serikali peke yao. La sivyo na wengine nao kama kina Mwaipopo, Askofu Shoo au Malasusa nao wakabidhi waraka kwa rais?

Nb:
Moderator acheni unafiki
Sijasoma. Nahisi umeandika mashudu tu. 🚮
 
Sijasoma mpaka mwisho inatosha kusema wewe ni kilaza hatari sana kutokea kwenye nchi hii, chawa ambaye anajaribu kuunganisha hoja kwa njia za hovyo kabisa, hasara sana kwa baba yako ni bora angelipiga punyeto kuliko kukuzaa wewe
Mama yako anaililia tu huko kwa Serengeti boy
 
Umeongeo ukweili walidhani ni wakubwa kuliko mamlaka lakni wakagundua wanapotea na hawawez kufanikiwa kwa cho
 
Kwa maoni ya mtoa mada, hii Nchi haitakuwa moja tena hadi tunaingia kaburini

Watu tumekubali kugawanywa na watawala
 
KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI

Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao? Mbona hatuwasikii Anglican, BAKWATA, KKKT na wenzao wakitueleza mambo Yao kama Taifa?

Hii ni moja ya upotofu ndani ya TEC. Lazima wajue hatujawaomba watuwakilishe au kutusemea. Hatuna haja na huduma yao.

Lakini tutizame unafiki wao.

Kitima alijitokeza almost kila wiki kabla na baada ya uhalifu wa oktoba 29. Kitima alishiriki Moja Kwa Moja zoezi la kumuondoaha mlutheri Mbowe na kumpa kiti mkatoliki Lissu. Kitima aliaminisha waumini wake kuwa bandari wamepewa waislamu eti kwa kuwa raisi ni mwislamu toka Zanzibar. Kitima akitoka hadharani na kupinga uchaguzi kama kwamba TEC ni chama cha siasa.

Baada ya uhalifu alidai maridhiano hayatawezekana mpaka kwanza "wauaji" wawajibishwe". Kwake Kitima "wauaji" ni waliofyatua risasi tu. Akasahau aliyewahamasisha vijana wapore na kuchoma mali ndio wauaji halisi. Yaani hata yeye na TEC ni wauaji.

Baada ya kuona hoja zao zimepuuzwa na mbinu zao zimegonga mwamba wao wenyewe wakaomba kuonana na Mkuu wa nchi ambaye hapo swali Kitima hakuona Soni kudai eti "ameingia madarakani kwa damu za watu"!

Kitima sasa anadai TEC inamtambua mkuu wa nchi na eti raisi ameingia madarakani kwa mujibu wa katiba! Sasa anamsifia eti amewakubalia ombi la kukutana na amewapokea vizuri. Na eti mazungumzo yalikuwa ya mafanikio makubwa!

Sasa Kitima na TEC yake anataka kutuambia wanaodai raisi ni batili na serikali ni haramu wanakosea? Ufahamu kuwa yupo raisi tena halali umemjia Kitima na TEC lini?

Kitima na TEC ni watu wa kuwasikiliza lakini sio kuwaamini au kuzingatia kauli zao mpya. Hawa wamegundua kuwa kukaa nje ya majadiliano kutawaumiza zaidi. Wanataka washiriki. Tuwashirikiahe lakini kamwe tusikubali kuwa wanaweza kuwa wasuluhishi. Hawa tayari walijidhihirisha wako upande mmoja na CHADEMA. Kina Kitima wamejua Heche na chadema wanafanya kosa na maridhiano yataenda bila wao. Wanataka kuziba pengo la CHADEMA kwenye maridhiano. Hawana nia njema. Washiriki kama wawakilishi wa CHADEMA. Wasijifanye wanakuja kusimamia haki kama anavyodai Kitima.

Tunaomba serikali iweje wazi waraka waliokabidhi Ikulu ili site tujue wanataka nini. Waraka huu isiwe Siri. Kitima anadai unaizungumzia maslahi ya wote na mustakabali wa Taifa. Eti unatoa mwarobaini wa "mkwamo wa kisiasa" uliopo nchini. Tunataka tujue huo mwarubaini na huo mkwamo wanaouzungumzia. Je wanapendekeza kibaraka wao atolewe jela? Je wanataka bandari isibinafsishwe kwa DPW? Je wanataka uchaguzi urudiwe? Je wanataka Katiba mpya iliyoje? n.k.

Haiwezekani pawepo mambo ambayo wanayoyajua ni Kitima na TEC na serikali peke yao. La sivyo na wengine nao kama kina Mwaipopo, Askofu Shoo au Malasusa nao wakabidhi waraka kwa rais?

Nb:
Moderator acheni unafiki

Haya matatizo ya akili uliyo nayo, ulizaluwa nayo au umeyapata ukubwani?

Ni mwendawazimu pekee ambaye anaweza kuhoji kwa nini mtu fulani au taasisi fulani inaongea. Huyo Kitima alikulazimisha umsikilize? Hivi kiongozi wa wakulima nchini akiitisha vyomva vya habari akazungumzia mambo yahusuyo wakulima aliyoongea na Rais, utapiga kelele kuwa kwa nini kiongozi wa wakulima ameongea, wakati yeye siyo kiongozi wake wewe mzururaji usiye na kazi maalum.
While luck people their heads protect brain, you unluck people, your heads are signs of human being.

Wenye akili wote wanamtambua Fr. Kitima kama mtu binafsi na kama msemaji wa TEC. Anapokuwa msemaji wa TEC, anaongea yale aliyoelekezwa na Baraza la maaskofu. Lakini anapoongea kama mtu binafsi, anaongozwa na dhamira yake binafsi.

Wenye akili wote wanajua kuwa FR. Kitima hakuna mahali alipotamka kuwa tulite naye ni kiongozi halali aliyepatikana kupitia katiba kama inavyoelekeza, bali alitamka kuwa ni Rais kwa sababu ameapishwa!! Wenye akili timamu walielewa maana ya hiyo kauli.

Ni kweli hakuchaguliwa na wananchi lakini alitangazwa na ile tume bandia kuwa ni mshindi (katiba inasema akitangazwa na tume hiyo bandia, hakuna wa kupinga), halafu tena akaapishwa (katiba inasema akishatangazwa kisha akaapushwa, ndiyo mwisho. Hakuna kuhoji, hakuna kushtaki. Ndiyo maana kuna haja ya kuandika katiba mpya, kwa sababu katiba yetu ipo hovyo sana, inapalilia na kulinda uovu!

Lazima uwe mwendawazimu wa kutotibika, kuamini kuwa eti TEC au Fr Kitima ni CHADEMA au eti TEC ndiyo ilimfanya Mbowe ashindwe kwenye uchaguzi.

Haishangazi sana, kwa sababu siku hizi, mtu yeyote mwente akili timamu, akiongelea suala la haki, akapinga utekaji, wizi, ufisadi, anaambiwa kuwa ni CHADEMA!! Ina maana CCM.na vyama vingine vyote ni taasisi za uovu na udhulumati?
Hongera sana CJADEMA kwa kujipambanua kuwa ni chama cha kutetea haki, demokrasia, na kupiga vita dhuluma zote, ndiyo maana kila mwenye kutaka haki na kuchukia dhuluma, anatajwa kuwa ni CHADEMA!
 
Ndugu Fahari ya kusini, nakuamkia na kukupongeza kwa dhati kwa kuleta uzi huu mzito mezani. Hoja ulizozibua ni muhimu sana kwa sababu zinagusa uhusiano wa kihistoria kati ya taasisi za dini, siasa, na mustakabali wa nchi yetu, jambo linalohitaji mjadala mpana na wa kiwaledi ili kuweka kumbukumbu sahihi.
Kuhusu Hoja ya Uwakilishi na Uhusiano wa TEC na Jamii
Viongozi wa dini nchini Tanzania, wakiwemo wale wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), hawajidai kuwasemea wananchi wote kama mbadala wa vyama vya siasa, bali wanatimiza wajibu wao wa kimaadili kama wadau muhimu wa ustawi wa jamii. Taasisi za kidini zinamiliki na kuendesha miradi mikubwa ya maendeleo kama shule, hospitali, na miradi ya maji inayohudumia Watanzania wote bila ubaguzi wa kiimani. Hivyo, kutoa sauti zao kuhusu mustakabali wa nchi sio kuingilia yasiyowahusu, bali ni kuchangia maoni kama sehemu ya asasi za kiraia zenye mchango mkubwa katika maisha ya kila siku ya wananchi.
Kuhusu Tuhuma za "Undumilakuwili" na Kubadili Msimamo
Hatua ya TEC na Padre Kitima kukutana na Mkuu wa Nchi na kusifu utayari wake wa kufanya mazungumzo haipaswi kutafsiriwa kama unafiki au undumilakuwili, bali kama ukomavu wa kidiplomasia na kisiasa. Kukosoa kasoro za michakato ya kisiasa au kiuchumi na kisha kukubali kukaa meza moja ya majadiliano na serikali ni utaratibu wa kawaida wa kutafuta suluhu duniani kote. Diplomasia yenye tija inahitaji pande zote kuweka kando malumbano pale fursa ya mazungumzo ya ana kwa ana inapojitokeza, ili kupata muafaka badala ya kuendeleza mivutano isiyo na tija kwa taifa.
Kuhusu Madai ya Kuwa Mawakala au Washirika wa CHADEMA
Agenda zinazopigania haki, uwazi katika mikataba ya rasilimali za taifa (kama suala la bandari), na mabadiliko ya katiba sio milki ya chama kimoja cha siasa bali ni masuala ya kitaifa yanayogusa maslahi ya kila Mtanzania. Ushabihiano wa hoja kati ya viongozi wa dini na vyama vya upinzani hautokani na uwakala wa kisiasa, bali unatokana na ukweli kwamba pande zote mbili zinatazama changamoto zilezile za kijamii na kiuchumi. TEC inasimama kama taasisi huru inayotoa sauti ya kinabii kulingana na misingi yake ya haki na amani, na sio kama msemaji wa chama chochote cha siasa au kwa lengo la kuziba pengo la mtu yeyote.
Kuhusu Uwazi wa Waraka na Haki ya Madhehebu Mengine Kushiriki
Mchakato wa kuwasilisha nyaraka au maoni ya kiofisi kwa Mkuu wa Nchi hufuata taratibu za kidiplomasia ambapo majadiliano ya awali hufanyika kwa faragha ili kujenga uaminifu na msingi imara wa maridhiano kabla ya kuwekwa wazi. Hata hivyo, kikatiba na kidemokrasia, milango ya Ikulu iko wazi kwa taasisi zote za kidini na kijamii—pamoja na viongozi wa madhehebu mengine—kuwasilisha maoni yao iwapo wanaona kuna jambo linafaa kuishauri serikali. Ushindani wa mawazo na mawasiliano ya namna hii kutoka vyanzo mbalimbali ndio unaorutubisha demokrasia na kuimarisha mustakabali wa nchi.
Hitimisho na Ushauri kwa Pande Zote Mbili
Ili kujenga nchi yenye misingi imara ya haki, amani, na maendeleo, ni muhimu kwa serikali na taasisi za dini kushirikiana kwa kuheshimiana na kuweka maslahi ya taifa mbele kuliko maslahi ya makundi.
Kwa upande wa Serikali, ni muhimu kuendelea kuacha milango wazi kwa wadau wote wa kijamii na kidini bila ubaguzi ili kupokea ushauri wenye tija. Isichukulie ukosoaji kutoka kwa taasisi za dini kama chuki au uadui wa kisiasa, bali kama fursa ya kujisahihisha na kuboresha utawala, huku ikiongeza uwazi katika maamuzi makubwa ya kitaifa na mikataba ya kimkakati ili kuzuia uvumi, taharuki, na sintofahamu miongoni mwa wananchi.
Kwa upande wa Taasisi za Dini (TEC na Madhehebu Mengine), ni vyema kulinda uhuru na hadhi yao kwa kusimamia ukweli na haki pasipo kuegemea au kuonyesha upendeleo wa wazi kwa chama chochote cha siasa. Wanapaswa kutumia diplomasia na majadiliano ya mezani kama nyenzo kuu ya utatuzi wa migogoro badala ya kauli zinazoweza kutafsiriwa kama uchochezi wa kijamii, huku wakizidi kuimarisha ushirikiano wa pamoja (inter-faith dialogue) kati ya madhehebu na dini zote ili kutoa miongozo ya kimaadili inayounganisha taifa badala ya kuligawa.
 
Father Kitima kausika kuondoshwa kwa Mzee mbowe Chadema na ivyo matokeo ya Viongozi wapya wa Chadema kuwapeleka wanachama kwenye Mapambano yaliopelekea Vifo vya watoto 500+

nayeye Father Kitima yumo kwenye iyo zambi 👈

Nisawa tu na Mashekh wa kipindi cha Benjamin William Mkapa nao wameshiriki zambi ya kufanana na ya Father Kitima ❗️
Kuwachochea kwanamna mbali mbali ikiwemo kutoa Matamko watoto waumini kwenda kwenye Mapambano na Mapolisi wenye silaha za Moto👈

Kama sio Father Kitima fahamu Tundu Lissu hasingeweza kumng'oa Mzee mbowe

Kumbuka Father Kitima na Tundu Lissu sio tu wote ni Wakatoliki👈

lkn zaidi ni kabila moja
from Singida

Kumbuka pia Sababu za kanisa katoliki mwaka 2015 kupitia Dk Slaa kumuunga mkono Rip JPM
Ni vile ni Mkatoliki mwenzao✅️

Wkt ndugu Rip Edward Lowassa ni KKKT

Kama aya ulikuwa uyajui unatakiwa kupunguza Utoto na kuacha kutukana wakubwa Jamii forum👈

Yumkin wakubwa wapo kukuelimisha wewe
kukujenga ww kiuwelewa✍️

Ndugu mdogoee, nimesoma bandiko lako neno kwa neno, na kwa kweli nimeshindwa kuzuia kicheko. Ni dhahiri kabisa kwamba badala ya kutumia akili timamu, umeamua kujaza uzi huu kwa hisia mfu, uzushi wa mitaani, na porojo za kiwango cha chini kabisa. Unajinasibu kuwa "mkubwa" anayekuja kuelimisha watu JamiiForums, lakini hoja zako zinaonyesha una ugonjwa sugu vya "akili za kushikiwa." Hizi ni hadithi za kusadikika zinazofaa kusimuliwa kwenye vijiwe vya kahawa baada ya kushiba daku, na sio kwenye jukwaa la wasomi na watu wanaojitambua.
Kuhusu Tuhuma za Kitima na "Kuondolewa" kwa Mbowe CHADEMA
Hivi tangu lini Padre wa Kanisa Katoliki akawa na kura au mamlaka ya maamuzi ndani ya mchakato wa ndani wa chama cha siasa kama CHADEMA? Unakuja hapa na uchambuzi wa "shule za kata" eti Padre Kitima amehusika kumng'oa Freeman Mbowe na kumweka Tundu Lissu. Tunakutaka uweke hapa ushahidi thabiti, wa nyaraka au ushahidi wowote wa kidijitali:
  • Je, Padre Kitima alikuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA uliopiga kura?
  • Je, ana kadi ya uanachama wa CHADEMA inayompa nguvu ya kupanga safu ya uongozi?
    Kuleta hoja za "kikabila na kidini" eti kwa sababu Kitima na Lissu wote wanatoka mkoa wa Singida na ni Wakatoliki basi kuna njama, ni kiwango cha juu cha upofu wa kiakili. Siasa za vyama haziongozwi kwa ramli za kishirikina wala kwa misingi ya mikoa, na kama una ushahidi wa siri, ulete hapa hadharani badala ya kuweweseka!
Kuhusu Uzushi wa Vifo vya "Watoto 500+" na Siasa za Udini
Umeenda mbali zaidi na kuanza kuhesabu vifo vya kufikirika vya "watoto 500+" na kubweka kuwa Padre Kitima ana dhambi hiyo. Huku ni kutapatapa kwa mtu alieishiwa hoja kabisa (intellectual bankruptcy). Unafananisha matukio ya nyuma ya masheikh na viongozi wa sasa kana kwamba una bajeti ya uongo ya kulipwa "buku saba" ili uchafue watu. Kila mtu anajua kuwa wananchi wanapodai haki zao za kikatiba kama uhuru wa habari na kupinga utekaji, hawahitaji kushikwa mkono au kuhamasishwa na Padre Kitima. Wananchi wanajitambua, na wewe unawatusi kwa kuwaona hawana akili timamu mpaka wasukumwe na kiongozi wa dini.
Kuhusu Nadharia ya Mwaka 2015, Dk. Slaa na JPM
Uchambuzi wako kuhusu uchaguzi wa mwaka 2015 ni kielelezo kingine cha upeo mdogo unaoongozwa na mihemko. Kudai kwamba Dk. Slaa alimuunga mkono hayati JPM eti kwa sababu tu ya "Ukatoliki" ni kujitoa ufahamu na kusahau misingi ya kisiasa iliyokuwepo wakati ule, ikiwemo hoja za ufisadi zilizokuwa zikizungumzwa usiku na mchana. Unajaribu kulazimisha kila jambo liingie kwenye kapu la udini ili kuhalalisha chuki zako binafsi dhidi ya TEC na viongozi wake.
Hitimisho:
Kama kweli wewe ni "mkubwa" mwenye nia ya kuelimisha jukwaa hili na sio "shabiki maandazi," tunakupa changamoto hapa hadharani: Leta ushahidi unaoonyesha ni kwa namna gani hisa Padre Kitima alichangia au kushiriki kumwondoa Mbowe CHADEMA. Ukishindwa kuleta ushahidi huo wa wazi, basi uthibitishe mbele ya wana-JF wote kuwa wewe ni mpiga porojo tu, mdini, mkabila, na mtu uliyejaa utoto unaolalamikiwa. Punguza kukurupuka na jifunze kufanya utafiti kabla ya kuandika mambo yanayodhalilisha uwezo wako wa kufikiri.
 
KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI

Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao? Mbona hatuwasikii Anglican, BAKWATA, KKKT na wenzao wakitueleza mambo Yao kama Taifa?

Hii ni moja ya upotofu ndani ya TEC. Lazima wajue hatujawaomba watuwakilishe au kutusemea. Hatuna haja na huduma yao.

Lakini tutizame unafiki wao.

Kitima alijitokeza almost kila wiki kabla na baada ya uhalifu wa oktoba 29. Kitima alishiriki Moja Kwa Moja zoezi la kumuondoaha mlutheri Mbowe na kumpa kiti mkatoliki Lissu. Kitima aliaminisha waumini wake kuwa bandari wamepewa waislamu eti kwa kuwa raisi ni mwislamu toka Zanzibar. Kitima akitoka hadharani na kupinga uchaguzi kama kwamba TEC ni chama cha siasa.

Baada ya uhalifu alidai maridhiano hayatawezekana mpaka kwanza "wauaji" wawajibishwe". Kwake Kitima "wauaji" ni waliofyatua risasi tu. Akasahau aliyewahamasisha vijana wapore na kuchoma mali ndio wauaji halisi. Yaani hata yeye na TEC ni wauaji.

Baada ya kuona hoja zao zimepuuzwa na mbinu zao zimegonga mwamba wao wenyewe wakaomba kuonana na Mkuu wa nchi ambaye hapo swali Kitima hakuona Soni kudai eti "ameingia madarakani kwa damu za watu"!

Kitima sasa anadai TEC inamtambua mkuu wa nchi na eti raisi ameingia madarakani kwa mujibu wa katiba! Sasa anamsifia eti amewakubalia ombi la kukutana na amewapokea vizuri. Na eti mazungumzo yalikuwa ya mafanikio makubwa!

Sasa Kitima na TEC yake anataka kutuambia wanaodai raisi ni batili na serikali ni haramu wanakosea? Ufahamu kuwa yupo raisi tena halali umemjia Kitima na TEC lini?

Kitima na TEC ni watu wa kuwasikiliza lakini sio kuwaamini au kuzingatia kauli zao mpya. Hawa wamegundua kuwa kukaa nje ya majadiliano kutawaumiza zaidi. Wanataka washiriki. Tuwashirikiahe lakini kamwe tusikubali kuwa wanaweza kuwa wasuluhishi. Hawa tayari walijidhihirisha wako upande mmoja na CHADEMA. Kina Kitima wamejua Heche na chadema wanafanya kosa na maridhiano yataenda bila wao. Wanataka kuziba pengo la CHADEMA kwenye maridhiano. Hawana nia njema. Washiriki kama wawakilishi wa CHADEMA. Wasijifanye wanakuja kusimamia haki kama anavyodai Kitima.

Tunaomba serikali iweje wazi waraka waliokabidhi Ikulu ili site tujue wanataka nini. Waraka huu isiwe Siri. Kitima anadai unaizungumzia maslahi ya wote na mustakabali wa Taifa. Eti unatoa mwarobaini wa "mkwamo wa kisiasa" uliopo nchini. Tunataka tujue huo mwarubaini na huo mkwamo wanaouzungumzia. Je wanapendekeza kibaraka wao atolewe jela? Je wanataka bandari isibinafsishwe kwa DPW? Je wanataka uchaguzi urudiwe? Je wanataka Katiba mpya iliyoje? n.k.

Haiwezekani pawepo mambo ambayo wanayoyajua ni Kitima na TEC na serikali peke yao. La sivyo na wengine nao kama kina Mwaipopo, Askofu Shoo au Malasusa nao wakabidhi waraka kwa rais?

Nb:
Moderator acheni unafiki
Kwamba ukipelekwa mahakamani una ushahifi na hizo claims,au ni ufala umekujaa kichwani.

Tangu lini waandamaji wakafatuliwa risasi za moto?

Alitetoa hiyo order ni nani?
 
Sasa kama hutaki kusikia feedback si usisiskie uachane nayo? Waache wanaotaka kusikia na kusoma wafanye hivyo...
Simple and clear...na ww nani kakwambia wengine hawataki kujua?
 
Back
Top Bottom