UNGA: Speech ya Ruto dakika 29 yote katoa kichwani, Majaliwa dakika 16 tu kasoma makaratasi

😆😆😆😆
 
Ili ujue Tanzania ni nchi yenye watu wa ajabu nikwamba eti kiongozi akitoa hotuba mbovu wanalaumu walioandika hotuba na aliyeongea kwa mdomo wake anaachwa. Unafikiri aliyeongea amekua kitabu kumbe ni mtu.
😅😅tafsiri ya jina lako tafadhali
 
Kilikuja na MELI.
 
Na kuna kipindi shujaa wa afrika alitaka kufuta kiingereza ili kiswahili kitumike mpaka chuo kikuu.
Mimi nilipinga, sisi kama TANZANIA tunahitaji kujua lugha nyingi ila kuendana na uchumi wa dunia
Haitakuja kutokea nchi ikafanya mapinduzi ya kimaendeleo kwa kufundishia lugha ya kigeni na kuacha lugha yake mama.

Nikosoe kwa kunitolea mfano wa nchi moja tu tunazoita zilizoendelea inayotumia lugha ya kigeni kufundishia.

Do you think it's a coincedence?
 
Sorry mkuu

Kwa hiyo wewe unajua swahili tu?? 😀
Najua lugha nne lakini siwezi kujivunia, kama ni faida maishani, ningekua nafahamu kutengeneza ndege na kuunda chombo cha ardhini na angani za kutafiti, na kuleta mali na faida za binadamu ningejivua.
 
Hakuna siku pombe na bange viliwahi Acha mtu salama
 
Tumekwepa ukweli,madhara yake yanayaona.Tufundishe masomo kwa lugha ya kiingereza,ili tuweze kuwasiliana kimataifa,lakini tunakwepa.

Nchi ilitakiwa kuendelea zaidi ya hapa tulipo, bahati mbaya tumepigwa kwenye mikataba mingi(kwa sababu za ubinafsi,na kutokujua dunia inaendaje).
 
Lakini kuipata nyanya au unga wa ugali Kenya ni patashika boksa kuchanika.
Nani kakudanganya?ndio utetezi wenu wa kipuuzi mkishakosaga hoja hiyo nyanya na Unga wa ugali hapa bongo tunagawiwa bure????tumia akili sio unakurupuka tu
 
Najua lugha nne lakini siwezi kujivunia, kama ni faida maishani, ningekua nafahamu kutengeneza ndege na kuunda chombo cha ardhini na angani za kutafiti, na kuleta mali na faida za binadamu ningejivua.
 

Attachments

  • Putin.jpg
    3.4 KB · Views: 2
Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa dadeek.
Sisi tunaishi kwa maelekezo toka juu
Akili hazijitegemei
Kumbuka yule mama aliyepokonywa uwaziri kwa vile aliheshimika US
 
Nani kakudanganya?ndio utetezi wenu wa kipuuzi mkishakosaga hoja hiyo nyanya na Unga wa ugali hapa bongo tunagawiwa bure????tumia akili sio unakurupuka tu
Haujui ulichondika au labda Hauna taharifa sahii.... Pointless... Kwani zile nchi zinazozalisha mafuta Kwa kiasi kikubwa kama Iran na Saudia, Huwa wanagawa Bure mafuta Kwa wananchi..... Bado haujatahiriwa katika nyanja ya arguments.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…