Ungana nami katika kukuletea updates za maandalizi na mikakati ya US kuipiga Iran

We uli
Umeishia darasa la ngapi wewe?
Hili jukwaa unalijua linaitwaje?
Hapa ni international forum hapa sio Facebook kama huna hoja pita kushoto
[/QUO
Nipite kushoto kulia apite Nani? Angalia utatolewa marinda we haya
 
Inatakiwa Waislam muungane kum kabili Us sema Waislam hawapendani wamekalia kuoa oa mwisho wanamalizia nguvu na akili chini...
Nchi za Waarabu zote zna maendeleo kuliko nyie ngozi nyeusi mnaojiona wenye akili kwakuwa sio waislamu. No Matter zilizopo Africa, Asia, Middle east au Eastern Europe. Na si ajabu hata Mama ako mchepuko ulokuwa una mhonga hela ulikuwa ni wa kiislamu👍
 
Walianza kina Bush na mbweembwee za kuipiga Iran 🇮🇷, matokeo yake wanamaliza muda wao madarakan huku Iran ikiendelea kuwepo
Kwa ilipofikia Iran 🇮🇷 hakuna taifa lolote la kujitia uchizi kuivamia, zaidi itabaki mikwara tuu km ya huyoo Trump
 
Muda wa urusi, china,korea kaskazini na Iran kutest silaha zao na kupoteza solo la makopo ya marekani
 
Wairan msikubali kamwe kuruhusu nchi yenu iwe kama Libya. Msidanganyike kwamba mnakuja kukombolewa, shikeni silaha muilinde nchi yenu kama ndugu zenu Wavietnam.
 
Uzuri anaepigwa hupelekewa gharama zote za mpigaji alipe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…