Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,528
- 4,355
wafia dini mkishavimbiwa daku ndio mnavyojifariji ila kipondo kikishushwa mnaanza waislamu wenzetu wanauawa Kwa halaikiMarekani ni mchumba kwa Iran hawezi fanya lolote ni mikwara mbuzi tu
wafia dini mkishavimbiwa daku ndio mnavyojifariji ila kipondo kikishushwa mnaanza waislamu wenzetu wanauawa Kwa halaikiMarekani ni mchumba kwa Iran hawezi fanya lolote ni mikwara mbuzi tu
show za marekani Huwa hazina haraka muda ukifika analeta msiba mzito kumbukeni utawala wa Syria umeshaangushwa na Assadi anaishi uswahili hapo pande za MoscowMada hii itakuwa inakuletea updates zote zinazopangwa na US akishirikiana na Israel dhidi ya Iran Hadi siku ambayo Iran itaenda kupigwa......
Toka juzi kuna zaidi ndege 6 hatari za kivita za B-2 bomber zimewasili tayari Huko DIEGO GARCIA AIR BASE.
Tukumbuke DIEGO GARCIA ni kisiwa kilichopo katika bahari ya Hindi kinachomilikiwa na UK - US Kwaajili ya mambo ya kijeshi
Sifa pekee za ndege hizi za B-2 bomber zina uwezo mkubwa wa kubeba makombora mazito ya GBU-57 yenye uzito wa tani 13 yaani uunganishe uzito wa mabus mawili ya Abood au Allys star.
DIEGO GARCIA AIR BASE IPO umbali wa miles 200 kutoka Iran,umbali huu inaifanya US NAVY kuwa na muda mzuri wa kujilinda na ndege za Iran, ballistic na drones pia itakuwa rahisi Kwa B-2 bomber kufanya mashambulizi ndani ya Iran na kurudi... Tukumbuke Iran nao sio wajinga ndiyo maana wamejenga base zao chini ya miamba na kwenye safu za milima hivyo inakuwa ngumu kuzifikia ngome zake.
Ila Kwa uwezo mkubwa wa mabomu ya GBU-57 wanaweza kupenya kwenye ngome yeyote Kwa umbali wa Mita 60 - 130 kwenda chini ya ardhi na miamba migumu.
Kwa mfano ngome zilizopo katika miji ya NATANZ NA FORDOW zipo chini Sana zaidi ya Mita 100 Hadi 180 chini ya ardhi huku mabomu ya GBU-57 yanaweza kupenya Kwa Mita 130(ili kuvunja ngome hizi lazima yatumike mabomu mengi ya kutosha)
Jana ndege 9 za KC-135 Ambazo kazi yake kubwa ni kujazia mafuta fighter jet zikiwa angani yaani Kwa lugha nyepesi hizi ndege ni vituo vya mafuta kama Puma,total,lake oil na nyinginezo,hizo ndege zote zimeshawasili tayari DIEGO GARCIA Kwaajili ya kazi ya kuichakaza Iran
Pia Jana hiyohiyo kuna fighter jets zaidi ya 100 za F-35,F-15 na F-18 zimeshawasili ndani ya nchi za UAE, QATAR, JORDAN,SAIDI ARABIA ikiwemo ndege zingine za USS Truman hizi zote zitatumika kupiga base zingine Ambazo zinatengeneza ballistic na silaha zingine za hatari za Iran
Ukiangalia Kwa jicho la tatu utaona kabisaa jinsi Iran inaenda kuzingirwa Kwa pande zote yaani hii inaitwa MTU kati
Hata Ile US AIR FORCE MOBILITY (AMC) imeondoka OSAN AIR BASE Huko South Korea kwenda kuongeza nguvu hapo mashariki ya Kati sio hivyo Tu Bali kuna ndege nyingine inayobeba vifaa vya ulinzi wa anga zimewasili tayari asubuhi ya Leo Huko ISA AIR BASE BAHRAIN, hizi ni ndege kubwa ya mkakati yenye kubeba "terminal high altitude area defence, Us army's MIM-104 patriot pamoja na surface -to-air missile system
Vifaa hivi vya ulinzi vilifanya kazi kubwa Sana kipindi kile ambacho iran alikuwa anapiga IsraelView attachment 3291074
Hata Iraq alisema hivyoMarekani ni mchumba kwa Iran hawezi fanya lolote ni mikwara mbuzi tu
Video yenyewe ya MICHONGO hapo si Israel!!
Makopo hayohayo ndio yalimkimbiza Marehemu Saadam na kujificha kwenye handaki la futi mbili kisha kudakwa kizembe kabisa..Muda wa urusi, china,korea kaskazini na Iran kutest silaha zao na kupoteza solo la makopo ya marekani
Nani alikudanganya kuwa Palestina ni nchi?Jodarn, Qatar,Misri, PALESTINA, Hamas na ww mwislam wa bongo unafanya nini KUILINDA IRAN namana hapo inahitajika umoja
Endelea kujidanganya au waulize Hezbollah sasa hivi Unawasikia?Jamani hayo maandalizi yote ya US ya Nini?kwa hiyo tukubaliane Uwezo wa Israel kwa Iran ni mdogo sana,vifaa vyote hivyo kama anaenda kuzichapa na Mrusi,kumbe hapo Israel ni US wala sio wayahudi kama tunavyodanganywa
vita isikie kwa majira, kukimbia kuacha, nyumba, biashara na mali inauma balaaEndelea kujidanganya au waulize Hezbollah sasa hivi Unawasikia?
Watu wanaichukulia irani kama Libya ya Muammar Ghadafi na Iraq ya sadam hussein.
Iran picha zipo aya wale wenyekudai Iran ilipigwa na Israel nanyi tuweekeni picha tupime Uwezo wao nani kanyukwa Zaid mwenye picha atume Tumalize ubishi apa..!!!!!
Na Afghanistan tulisema ivyo ivyo mwisho Marekani alitoka mbio na chup mkononi!!!!Hata Iraq alisema hivyo
Hili ni taifa la kipekee dunian lilioshikamana kwa asili yao bila kupoteza utamadunia wao inaitwa persian hamna wakuja kama usaPersians have steel balls, US atavurugwa malinda asubuhi na mapema kabisa.
Hizi baruty walirusha huko Israel sasa na wenyewe wajiandae kuzidaka hizo baruty
Shkamoo Anko?Marekani ni mchumba kwa Iran hawezi fanya lolote ni mikwara mbuzi tu
Safari hii Iran kayakanyaga kibaya zaidi kwa uungaji wake wa magaidi wa Hamas,Hezbollah na Wahouth jamaa wameona kuwashinda magaidi hao ni mpaka wamponde kichwa nyoka ndiyo itakuwa salama. Binafsi Nina uhakika atapigwa tu na hakutakuwa na lolote.Hizi ni ndoto za alinacha, marekani hatapiga wala kuivamia irani kijeshi. sababu anajua matokeo ya vita hivyo, yatakua mabaya sana. Maana hakutakua na Israel inayokaliwa na wayahudi feki wa kizungu.
Na itakua ndio mwisho wa tawala nyingi za kifalme hapo mashariki ya kati hasa ukoo wa Al Saudi ambao ni vibaraka wa marekani.
Iran labda apigwe kwa advanced technology zilizopo pale nevada area 51, Kama tetemeko la ardhi.
Sasa we inamaana hata geopolitics hufuatilii. Houthis ni nani, siyo Iran? jamani mbona mambo haya ni rahisi sana kujua? Kwani Iran anahangaika nini kama Houthis wasingeguswa?Marekani kamwe hawezi mpiga IRAN pasipo msaada wa Nchi za ulaya,kwa sasa Trump hana mahusiano mema na nchi hizo,hivo tusitegemee lolote.
Marekani yupo middle east kwa manufaa ya kuipiga HOUTH ya Yemen.