Ungana nami katika kukuletea updates za maandalizi na mikakati ya US kuipiga Iran

show za marekani Huwa hazina haraka muda ukifika analeta msiba mzito kumbukeni utawala wa Syria umeshaangushwa na Assadi anaishi uswahili hapo pande za Moscow
 
Hizi ni ndoto za alinacha, marekani hatapiga wala kuivamia irani kijeshi. sababu anajua matokeo ya vita hivyo, yatakua mabaya sana. Maana hakutakua na Israel inayokaliwa na wayahudi feki wa kizungu.

Na itakua ndio mwisho wa tawala nyingi za kifalme hapo mashariki ya kati hasa ukoo wa Al Saudi ambao ni vibaraka wa marekani.
Iran labda apigwe kwa advanced technology zilizopo pale nevada area 51, Kama tetemeko la ardhi.
 
SABABU kuuu kwann Marekani itamzuiya Tramp kuanzisha vita wenye ujuzi wa mambo ya Kijesh !!!!

kwanza akuna Faida mana uwezi angusha Utawala wa Iran kwa kushambulia angani !!!!

Ukipeleka Majeshi ya Ardhin Russia China lazima wajikite na ivyo ndio mwanzo wa vita ya Dunia !!!!

lkn apo apo kutokea Angani Ikiwa Iran inaweza kuzuiya Shambulizi kikamilifu Basi Marekani inaenda kwenye anguko kubwa itakuwa imejivua nguo yenyewe na kuingia asala kubwa ktk Biashara ya Silaha Dunian!!!! !!!

Washilika nao wataona akuna umuimu tena wa NATO na Marekani atabaki kwenye siasa za Uchumi tu lkn sio mambo ya Kijesh!!!
 
Safari hii Iran kayakanyaga kibaya zaidi kwa uungaji wake wa magaidi wa Hamas,Hezbollah na Wahouth jamaa wameona kuwashinda magaidi hao ni mpaka wamponde kichwa nyoka ndiyo itakuwa salama. Binafsi Nina uhakika atapigwa tu na hakutakuwa na lolote.
Wafuga Midevu na Majini kila leo wanadai eti Israel ni Taifa fake la wazungu kauli inayotamkwa mara kwa mara na Viongozi wa Iran haiwezi kumzuia Ng’ombe kunywa maji. Watapiga kelele na usiku watalala.
 
Marekani kamwe hawezi mpiga IRAN pasipo msaada wa Nchi za ulaya,kwa sasa Trump hana mahusiano mema na nchi hizo,hivo tusitegemee lolote.

Marekani yupo middle east kwa manufaa ya kuipiga HOUTH ya Yemen.
Sasa we inamaana hata geopolitics hufuatilii. Houthis ni nani, siyo Iran? jamani mbona mambo haya ni rahisi sana kujua? Kwani Iran anahangaika nini kama Houthis wasingeguswa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…