Ungana nami katika kukuletea updates za maandalizi na mikakati ya US kuipiga Iran

Umesema US anashirikiana na Israel kumpiga Iran

Inamaana Iran ni kidume kiasi hicho mbona unaidhalilisha super power
 
bila shaka mawazo yako yanawaza Iran nayo kakaa anaangalia hayo yote kama unavyoangalia wewe

mwisho wa USA ndo huo unakuja na mm naendelea kukazia Trump hatomaliza miaka minne ya uraisi
 
Inatakiwa Waislam muungane kum kabili Us sema Waislam hawapendani wamekalia kuoa oa mwisho wanamalizia nguvu na akili chini...
Wewe mbona hushirikiani kuwasaidia wala nguruwe wenzio kule Ukraine
 
Yaan utafikiri wewe ndio amiri jeshi mkuu wa Marekani, kumbe kapuku lipo kwa shemeji limeweka bando la jero livyoongelea utadhani liko uwanja wa vita, mijitu kama hii iliyoathiliwa na minyoo ya nguruwe ndio inafanya taifa kuwa masikini
 
bila shaka mawazo yako yanawaza Iran nayo kakaa anaangalia hayo yote kama unavyoangalia wewe

mwisho wa USA ndo huo unakuja na mm naendelea kukazia Trump hatomaliza miaka minne ya uraisi
Kutabiri sio dhambi pia siwezi kubisha mawazo yako Acha tusubiri tuone itakuaje
 
Yaan utafikiri wewe ndio amiri jeshi mkuu wa Marekani, kumbe kapuku lipo kwa shemeji limeweka bando la jero livyoongelea utadhani liko uwanja wa vita, mijitu kama hii iliyoathiliwa na minyoo ya nguruwe ndio inafanya taifa kuwa masikini
Mjinga wewe acha kudhalilisha nyama tamu!!! Baada ya mwezi mtukufu Mbona sasa hivi tunapishana kuinunua!! Hakuna watu wanaoipenda nyama ya Nguruwe kama Wafuga Midevu na Majini tatizo tu hawataki wajulikane!!!
 
Nimeona BBC pia wameandika, vyuma vinamiminika huko Mashariki ya kati.
 
Kiburi cha Ayatollah ndo kitawaponza Iran. Israel anataman apate green light adondoshe vitu Iran, Trump naye kashasema Iran atakuwa bombed asipoonesha nia ya kunegotiate kuhusu nuclear, jana Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa kasema hakutakuwa na njia nyingine bali kuishambulia Iran ikiwa muda wa negotiation utaisha bila any new deal. Maeekani akianza kujipanga hawi peke yake anamobilize na nchi nyingine unapigwa kila kona. Marekani ana washirika wengi wa kijeshi na sasa hivi Trump alivyokaza mataifa mengi yanatamani kujikomba kwake ili alegeze. Akilianzisha anapata waunga juhudi wengi.

Ayatolah akisimama kwenye swala anawadanganya wairan kuwa wana uwezo wa ku deal na US na Israel, hata SADAM HUSSEIN alikuwa hivi kilichokuja kumpata anajua huko aliko na mabikra wake.

Hakika sikio la kufa halisikii Dawa!!
 
Iran ina walakini mkubwa kuzuia Israel na US wasimpige sababu kiintelijensia wapo nyuma. Assassinations kadhaa zimefanyika hapo Iran na mpaka sasa hawana majibu ya kueleweka. Kiongozi mkuu wa HAMAS ameuliwa tena mji mkuu wa Iran na bado hawakuwa na majibu. Rais akafariki kwa ajali ya kutengenezwa na bado hata sasa hawana jibu.

Sasa kama adui ana uhuru wa kufanya chochote ndani ya nchi yako, tena mji mkuu wa nchi hiyo si ni hatari? Bado ndege za Israel zinaweza kupenya anga la Iran kufanya mashambulizi na kurudi salama Israel ni indicator mbaya sana hii kwa Iran.

Better wakaendelea kujitutumia ktk media ila wajiepushe na mtanange wa vita dhidi ya Magharibi.
 
Iran atapigwa ili kuondoa uwezekano wa kumiliki silaha za nyukilia,
Vilevile atapigwa ili kumaliza makundi ya kigaidi pale midle east.
Misri kasogeza majeshi Sinai na rais kasema Yemen na palestina hawako peke yao,wapo nao,mturuki anapeleka jeshi syria,myahudi haelewi,kabomoa track za ndege za syria,ukinyatia utanyatiwa
 
Urusi kapeleka sukoi-37 Iran,china kapeleka meli nzima ya vifaa vya makombora,weka ugoko niweke chuma
 
Mjinga wewe acha kudhalilisha nyama tamu!!! Baada ya mwezi mtukufu Mbona sasa hivi tunapishana kuinunua!! Hakuna watu wanaoipenda nyama ya Nguruwe kama Wafuga Midevu na Majini tatizo tu hawataki wajulikane!!!
Biashara imekwisha, hapo umebaki sanam tu mukunduyo
 
Misri kasogeza majeshi Sinai na rais kasema Yemen na palestina hawako peke yao,wapo nao,mturuki anapeleka jeshi syria,myahudi haelewi,kabomoa track za ndege za syria,ukinyatia utanyatiwa
mkuu tupe source ya hz porojo tujionee bt misri hana uthubutu huo hana narudia tena hana na hawez sogeza pua kwa myahudi labda kama kapeleka kulinda mpk wapalestina wasiende huko.
 
mkuu tupe source ya hz porojo tujionee bt misri hana uthubutu huo hana narudia tena hana na hawez sogeza pua kwa myahudi labda kama kapeleka kulinda mpk wapalestina wasiende huko.
Unajua kwa nini anwar sadat aliuawa!?..usaliti,majeshi ya misri yalikua yanasonga mbele dhidi ya israel,na ya syria kadhalika, Sadat akaamuru majeshi yarudi nyuma,na kusababisha syria kuzidiwa,akalambwa shaba,hao wayahudi feki hawana lolote, Hamas tu na magobole wanapata tabu
mkuu tupe source ya hz porojo tujionee bt misri hana uthubutu huo hana narudia tena hana na hawez sogeza pua kwa myahudi labda kama kapeleka kulinda mpk wapalestina wasiende huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…