Ungana nami katika kukuletea updates za maandalizi na mikakati ya US kuipiga Iran

Siriazi?

Kisa ni gani? Iran!!!🤓
bila shaka mawazo yako yanawaza Iran nayo kakaa anaangalia hayo yote kama unavyoangalia wewe

mwisho wa USA ndo huo unakuja na mm naendelea kukazia Trump hatomaliza miaka minne ya uraisi
 
Haya sasa kumekucha kumekucha muda wa midevu kutapakaa na kuzagaa zagaa ardhini, kobazi kutawanyika na suruali zao pendwa za adidas kuchanwa chanwa umewadia , nakumbusha nishawahi kilemba cha Ayyatolah mana nilishawahi koti la Sinawali kuna jitu huku huku likanizidi kete
 
Apo Congo vipi maana ya huko mbali ushatuambia.
M23 washapewa nchi au bado
 
Wakati huo Iran atakuwa amekaa anaangalia tu.
Si ndiyo hapo Mkuu, yaani watu wengine kuweka chumvi nyingi na kujifanya wao ni war planners WA Jeshi LA Merikani, wanajua kila kitu jinsi jeshi no Iran litavyo chakazwa no jeshi LA Merikani no Israel as if jeshi LA Iran ni lelemama wamesahau kabisa jinsi Watalebani walivyo wavurumisha wanajeshi wa Merikani huko Afghanistani - bombers za B-1,F-16,18 Fighters ziliwasaidia nini Wamerikani mbona tuliwaona kwenye luninga wakisepa peku peku wakimbilia kwenye helicopter kunusuru roho zao dhidi us wanajeshi WA kitalibani-leo hii ndio useme Wamerikani wana ubavu wa kuishinda jeshi no Taifa LA Iran hizi propaganda za CNN na FoxNews zitawafikisha wapi-someni historia za kweli kuhusu uwezo WA jeshi la Merikani hasa linapo jingiza kichwa kichwa kwenye Vita vya Mataifa mengine Mara zote uhishia KIPONDO cha kujidhalilisha, no hicho ndio kitawapata wakijitia kuivamia IRAN.
 
Iran ni mbwembwe tu hana uwezo wowote.
kama ndege za Israel ziliingia hadi Teheran na kupiga vituo nyeti na kurudi salama sembuse USA!
 
Iran ni mbwembwe tu hana uwezo wowote.
kama ndege za Israel ziliingia hadi Teheran na kupiga vituo nyeti na kurudi salama sembuse USA!
kwanini mbwembwe wakati 2024 iran kaipiga israeli mara mbili tena kwa vikombora vidogo vidogo ila vilifika mpk tel aviv,je wakitumia vitu heavy zaidi kutakuwa na kitu kinaitwa israeli hapa duniani!!!
 
kwanini mbwembwe wakati 2024 iran kaipiga israeli mara mbili tena kwa vikombora vidogo vidogo ila vilifika mpk tel aviv,je wakitumia vitu heavy zaidi kutakuwa na kitu kinaitwa israeli hapa duniani!!!
Nakuhakikishia hakuna vitu heavy, Israel ataendelea kuwepo na Iran atapigwa.

Ni suala la muda. Kwenye makaratasi keshapigwa.
 
Jamani hayo maandalizi yote ya US ya Nini?kwa hiyo tukubaliane Uwezo wa Israel kwa Iran ni mdogo sana,vifaa vyote hivyo kama anaenda kuzichapa na Mrusi,kumbe hapo Israel ni US wala sio wayahudi kama tunavyodanganywa
Huo ndio ukweli pekee uliokwisha dhihiri na ambao uzao wa
"Mama Samia, baba Netapaka"
hawataki kabisa kuuamini,ingawaje wanaushuhudia na hawana uwezo wa kuubadili!.
 
Hao Iran unaowasema walishindwa kuzuia shambulizi la Wanawake wa Israel
Kila nikitafakari, mawazo na hisia za watu kama wewe, juu ya uwezo na heshima kwa wanawake,nabaki nikiwahurumia Mamazetu,Shangazi zenu,dada zenu na jamaa zenu wengine wote wa jinsia ya kike.
Kwa namna mlivyomdunisha na kumshusha thamani mwanamke, kiasi kwamba hata kufanyakazi kwa msaada wa mashine kwenu nyinyi mnaona ni jambo lakushangaza na kushtua jamii ya wanaume!.
 
Iran BABA yao
 

Attachments

  • 6018105-4fce2298a66f9172a7e260b8bd4626d6.mp4
    15.3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…