Ungana nami katika kukuletea updates za maandalizi na mikakati ya US kuipiga Iran

Mjinga wewe acha kudhalilisha nyama tamu!!! Baada ya mwezi mtukufu Mbona sasa hivi tunapishana kuinunua!! Hakuna watu wanaoipenda nyama ya Nguruwe kama Wafuga Midevu na Majini tatizo tu hawataki wajulikane!!!
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Ww acha kejeli na watu wenye MUNGU kama Israel inaikalisha Iran Ndio sembuse Marekani una UTI kichwani
 
Hata Sadan Hussein na Iraq yake,wazushi walituambia yuko na silaha nzito zenye kuweza kuleta upinzani kwa US na allies wake lakini kilichotokea wewe kama siyo kijana wa 2000 plus lazima unakijya.
 
Walokole mnaosambaza uwongo kuwa Iran ilishsmbuliwa na Israel tunaomba picha tupime tujue Nani ndio Kidume kati yao !!!!

leteni picha kama picha amna basi acheni polojo na kudanganya watu. !!!!

Hooo wale Wadada noma!!!

Mnafundishwaga uwongo uko kwenye vijiwe vyenu!!!!
 
Hata Sadan Hussein na Iraq yake,wazushi walituambia yuko na silaha nzito zenye kuweza kuleta upinzani kwa US na allies wake lakini kilichotokea wewe kama siyo kijana wa 2000 plus lazima unakijya.
kuna utofauti mkubwa kati ya utawala wa saddam na AYATOLLAH
sawa na KIM JONG na PUTIN
nadhan unafahamu Uzarendo uliopo kwa wananchi wa hizo nchi na mifano mingi wameiona kwa nchi ambazo marekani ilitia uharibifu

nadhani unafahamu hakuna nchi ambayo marekani ilishupalia DEMOKRASIA na Utawala bora ikabaki salama
 
Hakuna namna USA anaweza kumshambilia muajemi siku za karibu.
Kumshambilia muajemi sasa kutaleta maafa makubwa mashariki ya kati.
Hao waarabu wote waliompa uwanja USA wajiandae kushangazwa na hao Persians.

1990 ilikuwa sio rahisi kumfuata SAADAM maana Scud ziliweza kufika Telaviv haraka sana USA akaswitch in cool mode na kwenda haraka kwenye second option.
Kumshambulia muajemi kwasasa kutoka Saudia, UAE, Israeli nk ni kuzitoa hizo nchi kafara, kama Houthis waliweza kumjambisha Saudia na akatulia basi Middle east ijiandae na kupokea barrage of missiles kutoka Tekhran.
Jedah, Dubai, Sharjah, Kuwait city, Telaviv nk zijiandae kupokea ugeni.
Ground invasion to Iran labda after 5yrs Ninachoona ni nuclear attack to Iran ili kumlazimisha kusurrender.
 
Na likisikia dawa ujue lishakufa
 
Marekani ni mchumba kwa Iran hawezi fanya lolote ni mikwara mbuzi tu
  1. In terms of military power, the United States significantly outstrips Iran, boasting a larger active-duty military, a more technologically advanced arsenal, and a global reach that dwarfs Iran's regional influence
  2. Active-Duty Personnel:
    The U.S. military has a significantly larger active-duty force than Iran's, with the U.S. having a 1.39 million strong military versus Iran's 575 thousand.
  3. Technological Superiority:
    The U.S. military is known for its advanced weaponry and technology, while Iran's military capabilities are more focused on regional defense and asymmetric warfare
  4. Global Reach:
    The U.S. has a global presence with military bases and deployments around the world
    , while Iran's military influence is primarily focused on the Middle East.
  5. The Iranian economy has crumbled drastically over the past year, due to chronic mismanagement, corruption and international sanctions.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…