Iran BABA yao Iran ndio Taifa teule
Iran BABA yao Iran ndio Taifa teule
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sanaMjinga wewe acha kudhalilisha nyama tamu!!! Baada ya mwezi mtukufu Mbona sasa hivi tunapishana kuinunua!! Hakuna watu wanaoipenda nyama ya Nguruwe kama Wafuga Midevu na Majini tatizo tu hawataki wajulikane!!!
Peharps so!
Wewe mwenyewe hapo ni mla NGURUWE kiuficho acha unafiki kudanganya watu!!Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Sawa zumbukukuWewe mwenyewe hapo ni mla NGURUWE kiuficho acha unafiki kudanganya watu!!
Ww acha kejeli na watu wenye MUNGU kama Israel inaikalisha Iran Ndio sembuse Marekani una UTI kichwaniWalianza kina Bush na mbweembwee za kuipiga Iran 🇮🇷, matokeo yake wanamaliza muda wao madarakan huku Iran ikiendelea kuwepo
Kwa ilipofikia Iran 🇮🇷 hakuna taifa lolote la kujitia uchizi kuivamia, zaidi itabaki mikwara tuu km ya huyoo Trump
Wafuga Midevu na Majini mna matatizo sana!!Sawa zumbukuku
Kwa hiyo huyu Mungu wako ndo anakutuma utukane watu usiowajua??Ww acha kejeli na watu wenye MUNGU kama Israel inaikalisha Iran Ndio sembuse Marekani una UTI kichwani
Hata Sadan Hussein na Iraq yake,wazushi walituambia yuko na silaha nzito zenye kuweza kuleta upinzani kwa US na allies wake lakini kilichotokea wewe kama siyo kijana wa 2000 plus lazima unakijya.kumbuka tu vita ina hasara pande zote hata ukiwa mshindi ni lazima uwe umeumia vya kutosha
na siku zote kumshambulia mtu kwake inahitaji akili na nguvu za ziada zaidi mfano ni ISRAEL na HAMAS GAZA
So kaa tayari kwa lolote kwa7bu iran itakachowafanya ALLIED wote wa USA watakaoisaidia US wataumia zaidi
jambo jingine US kuishambulia IRAN nchini kwakwe inamaana Imetangaza VITA KAMILI ambapo IRAN imejiandaa hilo tangu 70s
Babu bado upo Msumbiji?Mikwara ya mbuzi kulia "meee".
kuna utofauti mkubwa kati ya utawala wa saddam na AYATOLLAHHata Sadan Hussein na Iraq yake,wazushi walituambia yuko na silaha nzito zenye kuweza kuleta upinzani kwa US na allies wake lakini kilichotokea wewe kama siyo kijana wa 2000 plus lazima unakijya.
Bado mkuu, Ruby naidai nayao inaendelea kunitesa.Babu bado upo Msumbiji?
Hebu urudi ukalime ufuta kwa shamba la Kitokwaki. Panda na mikorosho, wekeza kwa ajili ya kesho.Bado mkuu, Ruby naidai nayao inaendelea kunitesa.
Iran ya kutoka wapi imekalishwa!!!!Ww acha kejeli na watu wenye MUNGU kama Israel inaikalisha Iran Ndio sembuse Marekani una UTI kichwani
Na likisikia dawa ujue lishakufaKiburi cha Ayatollah ndo kitawaponza Iran. Israel anataman apate green light adondoshe vitu Iran, Trump naye kashasema Iran atakuwa bombed asipoonesha nia ya kunegotiate kuhusu nuclear, jana Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa kasema hakutakuwa na njia nyingine bali kuishambulia Iran ikiwa muda wa negotiation utaisha bila any new deal. Maeekani akianza kujipanga hawi peke yake anamobilize na nchi nyingine unapigwa kila kona. Marekani ana washirika wengi wa kijeshi na sasa hivi Trump alivyokaza mataifa mengi yanatamani kujikomba kwake ili alegeze. Akilianzisha anapata waunga juhudi wengi.
Ayatolah akisimama kwenye swala anawadanganya wairan kuwa wana uwezo wa ku deal na US na Israel, hata SADAM HUSSEIN alikuwa hivi kilichokuja kumpata anajua huko aliko na mabikra wake.
Hakika sikio la kufa halisikii Dawa!!
Marekani ni mchumba kwa Iran hawezi fanya lolote ni mikwara mbuzi tu