Ungeishi vipi kama ungekuwa na jinsia tofauti na ya sasa?

Ningewala mademu aisee nakuwatesa kimawazo ,ningekuwa mshirikina ili wasiniombe pesa ,ningechukua nyota zao kufanikisha mambo yangu. Yaani ningekuwa nina mke na watoto wawili tu ila,wao wapo mkoa mwingine ili nijinafasi . Natengenezewa dawa wanijali nakunipa pesa,wakiniloga wafe,wakitaka kuniomba pesa wasahau ila mimi ndio niwale popote nipendapo . Nadhani nimeeleweka
 
Sawa bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…