Ungeishi vipi kama ungekuwa na jinsia tofauti na ya sasa?

dah
Mara paah unaamka mwenyewe unajikuta una jinsia tofauti na hiyo uliyonayo sasa.

Yani kama wewe ulikuwa KE umebadilika kuwa ME na wale ME umekuwa KE.

Ungeishi vipi?

Ungefanya nini?

Haya sasa yuhuuu! Twende kazi
dah mwanangu kwanza ungekua umeshaolewa tandahimba huko ndani ndani, halafu ungekua ushazalishwa watrotro 7 moja angekua ananyonya saiv , afu dingii alokuoa anakupelekea motroo kichizi everyday akupige mtotro wa 8, dah acha tu nawaza ungezaliwa k ungekua umechoka sana saivi ndio kwanza una miaka 31
 
Ww mbona unaonekana unapenda inshu za dawa sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…