Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
-
- #41
amenJapo ni hadithi za Abunuwasi, ningejitahidi kuisaidia jamii inayoishi hapa duniani ili wawe na maisha mazuri. Kuifanya dunia iwe mahali pa raha na sio mateso. Kwa wale ambao wapo gizani nitawatoa huko na kuwapa mwanga wa maisha
mbona ulikimbia kama sina hahahaha![emoji38] nguvu unazo?
Nachojua mimi, Tajiri wa Kwanza Duniani Ni Mmliki wa Amazonmfano leo wewe ndo ungekuwa bill gates na utajiri wote..au unaelelea kuwa bill gates..
matamanio yako makubwa ni yapi?
mambo ambayo unatamani kuyafanya lakini kikwazo pesa...
your biggest wishes..
mi kama ningekuwa bill gates tz hakuna mtoto wa mtaani anaeombaomba..hakutakuwa na wahitaji maakum wanapigwa jua wakiomba..hawa watu wananiumiza nkiwaona..
hawa watu mahitaji yao makuu ni chakula.pa kujiatiri na mavazi...
vitu vingine ni matibabu.na vitu vya kufurahia
yes.iam bill gates..i can do all these..u will never see a street kid or lame begging .
what about you?
ungekuwa billgates ungefanya nini?
Hahahaha we chiziiiningetomba mademu wote walionikataa kisa sina pesa....
Ungeongeza na Bugatti chiron au koenigsegg kwa ajili ya kutokea jioni kuendea kwenye minuso ya kifahari..Hahahahah hili swala sio jepesi ila nadhani ningekuwa mtu peace zaidi naesaidia maskini na kujenga marafiki wengi ulimwenguni. Plus kujenga misikiti na makanisa ili kuhimiza watu wamkumbuke mungu.
Ningeoa mke mzuri sana ambae ndie angekuwa jukumu langu la pili baada ya kupata pesa na kujenga familia bora yenye watoto wengi lakini 5+ kids
Swala la bata ni pie so SUV zote zenye muonekano mzuri kama G Wagon, F-Pace, Velar, Vogue, Escalade, Tahoe, Navigator, Expedition, Explorer, Cruiser 200 series ningekuwa nazo kila likitoka toleo jipya. Old model nagawa kwa ndugu jamaa na marafiki.
Sipendi ndege so sio lazima ila SUV muhimu zenye rim kali (Foggiatos) na bonge la sound kama JBL au Bose.
lini?mbona ulikimbia kama sina hahahaha!
Hahahah kweli..Ungeongeza na Bugatti chiron au koenigsegg kwa ajili ya kutokea jioni kuendea kwenye minuso ya kifahari..
Najua unahamu ya bashaNingekuwa Bill Gates, ningekunasa makofi saa 11 alfajiri halafu ningekulipa fidia na baadaye nikakupeleka shule ukarabatiwe ubongo.
si kaz rahisi.unahitaji mwamko wa watu.sio pesa tuningefanya kila jitihada za kupambana na maadui watatu;
umaskini,
maradhi,na ujinga.