Ungekuwa Bill Gatess tajiri namba moja duniani ungefanyaje?

Ungekuwa Bill Gatess tajiri namba moja duniani ungefanyaje?

Japo ni hadithi za Abunuwasi, ningejitahidi kuisaidia jamii inayoishi hapa duniani ili wawe na maisha mazuri. Kuifanya dunia iwe mahali pa raha na sio mateso. Kwa wale ambao wapo gizani nitawatoa huko na kuwapa mwanga wa maisha
amen
 
Ningesaidia watoto yatima,wajane wanaotaabika,wazee na kujenga nyumba za ibada ili watu wengi zaidi waokoke na kuziacha njia za shetani ili dunia iwe yenye furaha na amani.Sijasema kwamba yangu sitayafanya kwani lazima niwe ninamiliki Gulfstream G650 kwa ajili ya kunirahisihia mambo mengine..
 
mfano leo wewe ndo ungekuwa bill gates na utajiri wote..au unaelelea kuwa bill gates..
matamanio yako makubwa ni yapi?
mambo ambayo unatamani kuyafanya lakini kikwazo pesa...
your biggest wishes..

mi kama ningekuwa bill gates tz hakuna mtoto wa mtaani anaeombaomba..hakutakuwa na wahitaji maakum wanapigwa jua wakiomba..hawa watu wananiumiza nkiwaona..
hawa watu mahitaji yao makuu ni chakula.pa kujiatiri na mavazi...
vitu vingine ni matibabu.na vitu vya kufurahia
yes.iam bill gates..i can do all these..u will never see a street kid or lame begging .

what about you?
ungekuwa billgates ungefanya nini?
Nachojua mimi, Tajiri wa Kwanza Duniani Ni Mmliki wa Amazon
 
Hahahahah hili swala sio jepesi ila nadhani ningekuwa mtu peace zaidi naesaidia maskini na kujenga marafiki wengi ulimwenguni. Plus kujenga misikiti na makanisa ili kuhimiza watu wamkumbuke mungu.

Ningeoa mke mzuri sana ambae ndie angekuwa jukumu langu la pili baada ya kupata pesa na kujenga familia bora yenye watoto wengi lakini 5+ kids

Swala la bata ni pie so SUV zote zenye muonekano mzuri kama G Wagon, F-Pace, Velar, Vogue, Escalade, Tahoe, Navigator, Expedition,Grand Cherokee, Cruiser 200 series ningekuwa nazo kila likitoka toleo jipya. Old model nagawa kwa ndugu jamaa na marafiki.
Sipendi ndege so sio lazima ila SUV muhimu zenye rim kali (Foggiatos) na bonge la sound kama JBL au Bose.
 
1. Ningenunua begi jipya nikaringishe Matejoo
2.Wanyaturu wote ningewahamishia mlima Meru
3. Ningenunua mnyonyo na travoo
4. Nikioa honeymoon ningeenda juani
5. Ningenunua RV na ndio ingekuwa nyumba yangu, ningeishi nchi nzima, leo niko kimara kesho nasogea mbezi, keshokutwa naenda masaki
 
Hahahahah hili swala sio jepesi ila nadhani ningekuwa mtu peace zaidi naesaidia maskini na kujenga marafiki wengi ulimwenguni. Plus kujenga misikiti na makanisa ili kuhimiza watu wamkumbuke mungu.

Ningeoa mke mzuri sana ambae ndie angekuwa jukumu langu la pili baada ya kupata pesa na kujenga familia bora yenye watoto wengi lakini 5+ kids

Swala la bata ni pie so SUV zote zenye muonekano mzuri kama G Wagon, F-Pace, Velar, Vogue, Escalade, Tahoe, Navigator, Expedition, Explorer, Cruiser 200 series ningekuwa nazo kila likitoka toleo jipya. Old model nagawa kwa ndugu jamaa na marafiki.
Sipendi ndege so sio lazima ila SUV muhimu zenye rim kali (Foggiatos) na bonge la sound kama JBL au Bose.
Ungeongeza na Bugatti chiron au koenigsegg kwa ajili ya kutokea jioni kuendea kwenye minuso ya kifahari..
 
Ningetafuta wanawake wazuri nitembee nao kula starehe ya kila aina duniani.


My take:
Kadri unavyotumia pesa ndiyo kadri unavyo pata akili kubwa ya kurudisha mara 2 ya ile pesa uliyoitumia awali.
 
ningefanya kila jitihada za kupambana na maadui watatu;
umaskini,
maradhi,na ujinga.
 
Back
Top Bottom