Ungekuwa Bill Gatess tajiri namba moja duniani ungefanyaje?

Sijui ningefanya nini ningekuwa yeye.

Yaani hapa unataka nijiingize kwenye akili ya bill wakati huo huo nikiwa kwenye akili ya Kileiguanan.
 
wacha wee...vipi ungempa magu dola millon 700 kusaidia maendeleo?
 
[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sijui ningefanya nini ningekuwa yeye.

Yaani hapa unataka nijiingize kwenye akili ya bill wakati huo huo nikiwa kwenye akili ya Kileiguanan.
[emoji38] umeona majibu ya wenzio?
 
Kwani Billgate angefanyaje angekuwa kama mimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…