Ungekuwa Bill Gatess tajiri namba moja duniani ungefanyaje?

Ungekuwa Bill Gatess tajiri namba moja duniani ungefanyaje?

so hakutakuwa na mkulima maskini tz..zana za kisasa..mazao ya uhakika soko la uhakika hadi nje eh?
Ipo cool hii
Yap Yap,, ujue Tz kuna wakulima wengi lakn wanalima kwa mazoea na si kitaalamu, , that's why mchango wa kilimo kwenye pato la taifa unazidi kudorora siku hata siku
 
Wale Mademu wazuri wazuri Wenye Chura Wote Ningewachukua,
Ningenunua Magari ya Kifahari 7 Kila siku Na Gari Lake
Ningekuwa na Walinzi Kila Upande wenye Silaha Kali za Kivita Kunilinda tu Mimi!
Ningejenga Nyumba Kubwa ya Kifahari kwa Ajili ya Mimi na wake zangu wenye Chura!
 
hewalaah baba [emoji23] [emoji23]

na sie flat screen tungekua nahausgeli wako?
 
sekta muhimu sana yenye ajira kubwa ya kilimo ndio priority no 1,kilimo cha kisasa ndio kitaendana na kasi ya viwanda vya raisi anavyotaraji kuvijenga ama kufufua kama alivyosema
 
Japo ni hadithi za Abunuwasi, ningejitahidi kuisaidia jamii inayoishi hapa duniani ili wawe na maisha mazuri. Kuifanya dunia iwe mahali pa raha na sio mateso. Kwa wale ambao wapo gizani nitawatoa huko na kuwapa mwanga wa maisha
 
Back
Top Bottom