Ungekuwa kwenye biblia, ungekuwa nani?

Mimi ningekuwa mfalme Daudi nisingependa adui yangu aniletee upuuzi wake , nisinge kuwa yesu eti unipige nikuangalie tu .

Wasaliti kama kina Yuda wangeipa freshi?

Wewe unadhani ulifaa kuwa nani?

USSR

Esta
 
Hahahaha nimecheka sana unajua neno baharia kuwa kubwa hapa Tanzania

USSR
Hawa mabaharia toleo jipya hawa ishu...Wale wa kitambo bhana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ acha kabisa yona hakuamini kama watamtupa...
 
Mimi ningekuwa mfalme Daudi nisingependa adui yangu aniletee upuuzi wake , nisinge kuwa yesu eti unipige nikuangalie tu .

Wasaliti kama kina Yuda wangeipa freshi?

Wewe unadhani ulifaa kuwa nani?

USSR
Mi sitamani kuwa yeyote.
 
Mimi ningekuwa mfalme Daudi nisingependa adui yangu aniletee upuuzi wake , nisinge kuwa yesu eti unipige nikuangalie tu .

Wasaliti kama kina Yuda wangeipa freshi?

Wewe unadhani ulifaa kuwa nani?

USSR
Wewe ni Sauli tu๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ