Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
We ni mweupe ๐msg zako ntajibu kwa haraka sana ๐น๐๐
Sisi Weusi hupokei Simu zetu
Umri????Natafuta mchumba, awe mrefu mweupe.....
Hakika MkuuMwanamke WA aina hiyo anakuwa hajakupenda.
Wengi Kutumia Mbinu hizo kupunguza idadi ya waliofanya Application ๐
We ni mweupe ๐msg zako ntajibu kwa haraka sana ๐น
Anazingua sana huyu Bibie lakini huyu tayari jimbo lilishachukuliwa๐
Moja ya Wadada wajanja wajanja humu upo. Muunde Chama chenu Sasa๐๐
Anazingua sana huyu Bibie lakini huyu tayari jimbo lilishachukuliwa
Kuolewa ni hitaji la msingi kwa wanawake wote wenye sifa za kuwa mke/mama wa familia, ila sio hitaji la msingi kwa wasio na sifa hizo/rejects.Kauli za wenye wivu tu isitoshe uzuri wa mtu uko machoni pa mtazamaji, tatizo watu wamegeuza kuolewa km hitaji la msingi kumbe sio kweli,
Labda km huyo mwanamke alikuwa ananata na kudharau ndoa halafu aanze kuhangaikia kuolewa hapo sasa waja tutampa ya kumpa,, na vicheko tutacheka
Bro uko wapi.....Anazingua sana huyu Bibie lakini huyu tayari jimbo lilishachukuliwa
Umri 40+Umri????
Financial status ???
Hapo hizo sifa sina hata moja labda weupe wa kununua urefu ninao lakini 5.9 ft ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ushamuoa Mwanamke alafu akuambie ni mfupi?๐๐ Au Mwanamke mwembamba
Mi naamini kuolewa ni chaguo km mengine tu kuna ambae bila kuolewa hajisikii vizuri lakini wapo wanawake kipaumbele chao si kuolewa, kwenye mahitaji ya msingi hilo la kuolewa halimoKuolewa ni hitaji la msingi kwa wanawake wote wenye sifa za kuwa mke/mama wa familia, ila sio hitaji la msingi kwa wasio na sifa hizo/rejects.
Muhimbili hapaBro uko wapi.....
Nakupigia namba inaishi 05Muhimbili hapa
Sijafikisha 40 vipi unaweza ukanisubiri???Umri 40+
Pesa nitatafuta nae ๐
Mindset ya Mwanamke anaamini akiwa mzuri ndo ataolewa ndio mana mwanamke anatumia mda mwingi kwenye kioo kutafuta uzuri..
Ndio mana mwenzao asipoolewa wanasema hana uzuri.
Mindset ya wanaume Tunaamini mwanamke ni mzuri kichwani, Ukiona mwanaume anatafuta mwanamke mzuri ni kwaajili ya Pride tu...
Ndo mana mwanamke asipoolewa Tunasema nani aoe kichwa kama kile?
Natumia JF tu simu imepumzika leoNakupigia namba inaishi 05
Sijafikisha 40 vipi unaweza ukanisubiri???
Hiyo pesa naitafuta daily sio Shida hapo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Wamekatiza utamu nilitaka nimsikie kwa tusio na shep