"Ungekuwa Mzuri ungekuwa Umeolewa" kauli hii Wanawake wanapenda kuambiana inaukweli kiasi gani?

"Ungekuwa Mzuri ungekuwa Umeolewa" kauli hii Wanawake wanapenda kuambiana inaukweli kiasi gani?

Kauli za wenye wivu tu isitoshe uzuri wa mtu uko machoni pa mtazamaji, tatizo watu wamegeuza kuolewa km hitaji la msingi kumbe sio kweli,

Labda km huyo mwanamke alikuwa ananata na kudharau ndoa halafu aanze kuhangaikia kuolewa hapo sasa waja tutampa ya kumpa,, na vicheko tutacheka
Kuolewa ni hitaji la msingi kwa wanawake wote wenye sifa za kuwa mke/mama wa familia, ila sio hitaji la msingi kwa wasio na sifa hizo/rejects.
 
Mindset ya Mwanamke anaamini akiwa mzuri ndo ataolewa ndio mana mwanamke anatumia mda mwingi kwenye kioo kutafuta uzuri..

Ndio mana mwenzao asipoolewa wanasema hana uzuri.

Mindset ya wanaume Tunaamini mwanamke ni mzuri kichwani, Ukiona mwanaume anatafuta mwanamke mzuri ni kwaajili ya Pride tu...

Ndo mana mwanamke asipoolewa Tunasema nani aoe kichwa kama kile?
 
Ushamuoa Mwanamke alafu akuambie ni mfupi?😀😀 Au Mwanamke mwembamba

No hapa nazungumzia kuwa smartness huwa inaenda na kuwa logically na kutokuwa judgmental

Mimi huwa natumia haya mambo kupima akili ya MTU

- being none judgmental
-being logically
-being visionary

So nikianza kumuona MTU anaponda watu hasa maumbile yao huwa namvua vyeo kwa kuona ikiwa MTU hakujiumba je inakuaje unamwita mbaya.
 
Kuolewa ni hitaji la msingi kwa wanawake wote wenye sifa za kuwa mke/mama wa familia, ila sio hitaji la msingi kwa wasio na sifa hizo/rejects.
Mi naamini kuolewa ni chaguo km mengine tu kuna ambae bila kuolewa hajisikii vizuri lakini wapo wanawake kipaumbele chao si kuolewa, kwenye mahitaji ya msingi hilo la kuolewa halimo
 
Back
Top Bottom