"Ungekuwa Mzuri ungekuwa Umeolewa" kauli hii Wanawake wanapenda kuambiana inaukweli kiasi gani?

Hizo ni kauli za kuonyesha wivu hasa kwa wanawake ambao wanaona mwenzao kuna kitu kawazidi ,yani ni kauli za wanawake wa uswahilini.

Kauli hizo zinatolewa mpaka na viongozi wa nchi nilishawahi kusikia Baadhi ya viongozi wakisema hivyo
 

Inatosha Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…