Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #101
Wanawake wazuri wazuri wameolewa.
Yamebaki madunga embe yanahangaika
Huo wimbo Bora ulipigwa marufuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wazuri wazuri wameolewa.
Yamebaki madunga embe yanahangaika
Hizo ni kauli za kuonyesha wivu hasa kwa wanawake ambao wanaona mwenzao kuna kitu kawazidi ,yani ni kauli za wanawake wa uswahilini.
Uzuri wa Tabia, Nafsi na Roho ndo tatizo kubwa la wanawake wengi hasa wale wenye uzuri wa Maumbile na/au Akili.
Na kiukweli Mke mwema sio yule mwenye Tako kubwa wala mwenye GPA kali. So ieleweke tu uzuri unaohusishwa na kuolewa ni Uzuri wa Tabia, Nafsi na Roho maaana huu ndo unamfafanua mtu jinsi anavyoishi na jamii, familia na Mume.
Nirudie?
Sjawai ambiwa ila inaonekana inauma
Unataka usemeje apo mkuu? Bahati mbaya au?Kûna Wanawake wanavipato NI wateja wàngu wanapesa siô CHINI ya MILIONI 2 Kwa Mwezi lakini Hawajaolewa licha ya kuwa kitabia pia wako poa