Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Hello dears

Poleni na majukumu.

Kuna mmama fulani alikuwa anafuatilia nyendo za mumewe (waliyezaa nae watoto kadhaa bila ndoa) basi akagundua mzazi mwenza anapewa kisamvu cha kopo na anakifurahia Sana.
Mmama amecharuka anawaza kudili na mwizi wake maana ameshamjua.

Swali kwako mwenye ndoa au mahusiano imara. Kama ni wewe umegundua mumeo anafanya mambo kama hayo utafanyaje? Utamsaidiaje aache? Au na wewe utampatia??
Kama umeolewa na upo ndani ya nyumba na mme wako hajakuletea shida yyte au hajawahi kukuomba kinyume na maumbile basi wewe piga kinya na usiwafuatile ingawa unaweza kumwambia ajirekebishe unajua mienendo yake sio mizuri..

Wanaume tunapenda sana kuharibu sehemu ambazo tunajua hatudumu basi tutafanya fujo ya kila aina mitaro itafukuriwa na kila uchafu ila mke huwa anaheshimiwa sana..hasa anayepedwa ukiona mumeo kabisa tena wa ndoa anaomba mtaro jua huyo akupendi na siku yyte unaachwa.
 
Umesoma umeelewa kweli? Address 3rd person singular na sio 2nd person singular. Hope umeelewa
 
Ulikua unamchunguza means kuna kitu ulikua unataka, ndo hicho umepata sasa...... Ulipanga ukikipata ufanye nini?
 
😂😂😂😂chochote unachotaka kufanya kwenye mahusiano fanya kwasababu umependa mwenyewe au unajifurahisha

usifanye kwa ajili ya mwanaume 😂hawa wenye miguu mitatu utafanya na bado atatumia ulichofanya kama sababu ya kukuacha
Mamdogooo..!! Afu unaisema hiyo miguu mitatu na akati huo mmoja unauotea ndoto kila uchwao..!! Nyie wenye matundu saba mna visa sana mamdogo..!!!
 
Mwanaume hatulizwi Kwa kumpa Kisamvu Wala nini...

Vijana wanahisi Kisamvu ndiyo big ishu sana, utasikia Mwanaume gani huridhiki wakati nakupa Kila kitu hadi Kisamvu....

Hivyo visamvu vimeliwa tangu enzi za Ruthu wa Sodoma

Tujiulize Suleiman Kuoa Wanawake 700 na Vimada 300 alikuwa anakosa nini Kwa Mke wa kwanza hadi kuongeza kufikisha hiyo idadi ya Wanawake?

Kama Mwanamke huna heshima Kwa Mumeo jua lazima atakukimbia

Kama Mwanamke hufanyi Usafi wa Ikulu yako unaiacha inanukia isivyo sawa ujue Mwanaume atakimbia tu

Mwanamke hujitumi Kwa bed, jua Mume atatoka tu nje

Kama Mwanamke kichwa imelala muda wote, hutoi mawazo ya kujenga unawaza mawigi/Bata tu/vipochi...Mume atakimbia tu
 
😂😂😂😂chochote unachotaka kufanya kwenye mahusiano fanya kwasababu umependa mwenyewe au unajifurahisha
Amehlo
Screenshot_20240630-104622.jpg
 
Mwanaume hatulizwi Kwa kumpa Kisamvu Wala nini...

Vijana wanahisi Kisamvu ndiyo big ishu sana, utasikia Mwanaume gani huridhiki wakati nakupa Kila kitu hadi Kisamvu....

Hivyo visamvu vimeliwa tangu enzi za Ruthu wa Sodoma

Tujiulize Suleiman Kuoa Wanawake 700 na Vimada 300 alikuwa anakosa nini Kwa Mke wa kwanza hadi kuongeza kufikisha hiyo idadi ya Wanawake?

Kama Mwanamke huna heshima Kwa Mumeo jua lazima atakukimbia

Kama Mwanamke hufanyi Usafi wa Ikulu yako unaiacha inanukia isivyo sawa ujue Mwanaume atakimbia tu

Mwanamke hujitumi Kwa bed, jua Mume atatoka tu nje

Kama Mwanamke kichwa imelala muda wote, hutoi mawazo ya kujenga unawaza mawigi/Bata tu/vipochi...Mume atakimbia tu
Yule mama ni mkali Sana
Yaaaaani over mbogo. Af naskia kutoa tunda Hadi atake yeye sasa labda made baba alichoka
 
Relax mumama as long as uzi upo wazi nitajibu tuuuuu labda nisione.

Toa kisamvu nawe upambane dada. Au tafuta kina nyundo wakabake.
Imeeenda hyoo Hadi penyewe
Naona yanakutoka tuu.
Haya me mesej nlishakupatia. Kwa sasa bye.
 
Back
Top Bottom