Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Mwambie kuwa unaelewa anachokifanya na info zote unazo kisha kwa upooole mwambie, akikichoka arudi kula nyumbani kabla chakula hakijachacha.

Mweleze huyo mamaa.
Maza anaataka kulipizaa
 
Hicho kisamvu kinachepikiwa kwenye makopo wanaki export au vinauzwa supermarkets za hapahapa Bongo,sijaelewa ujue!
 
Hello dears

Poleni na majukumu.

Kuna mmama fulani alikuwa anafuatilia nyendo za mumewe (waliyezaa nae watoto kadhaa bila ndoa) basi akagundua mzazi mwenza anapewa kisamvu cha kopo na anakifurahia Sana.
Mmama amecharuka anawaza kudili na mwizi wake maana ameshamjua.

Swali kwako mwenye ndoa au mahusiano imara. Kama ni wewe umegundua mumeo anafanya mambo kama hayo utafanyaje? Utamsaidiaje aache? Au na wewe utampatia??
Mada za wazinzi hizi
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom