Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Nakuaga ww hapo kwakuwa nina allerg na much knows.
Kwa wengine nitakuwepo Sana kusongesha uzi.
😹😹😹 dada uko wapiiiii kwani si umeuliza "ungekuwa wewe ungefanyaje" sasa umenuna nini jamani na umejibiwa vizuri tu hata hamna cha kukera hapo.
 
Tatizo watu wanataka kufurahisha watu au mtu. Ukijipenda kwanza hutakaa uteseke kwa ajili ya matatizo ya watu ya kujitakia.
Ni bora kufanya jambo ambalo mwenyewe unataka na unalifurahia. Na sio kufanya jambo shingo upande kumfurahisha mwingine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chochote unachotaka kufanya kwenye mahusiano fanya kwasababu umependa mwenyewe au unajifurahisha

usifanye kwa ajili ya mwanaume [emoji23]hawa wenye miguu mitatu utafanya na bado atatumia ulichofanya kama sababu ya kukuacha
Uzii ufungweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unafikiri kwanini hajakuomba wewe akaenda kwa jirani? Ni kwsbb anataka kukutunzia heshima na akuone wa thamani, sasa ukimpatia, hiyo thamani ataishusha na kukuona malaya kama malaya wengine wachafu.
Una hojaa, usikilizweee.
 
😂😂😂😂chochote unachotaka kufanya kwenye mahusiano fanya kwasababu umependa mwenyewe au unajifurahisha

usifanye kwa ajili ya mwanaume 😂hawa wenye miguu mitatu utafanya na bado atatumia ulichofanya kama sababu ya kukuacha
pole kwa yaliyokukuta hakika umepita mengi sana mpk na wanaume wenye miguu mitatu..!
jipige kifuani mara tatu huku ukiuambia moyo wako "yote kheri".😂
 
Hello dears

Poleni na majukumu.

Kuna mmama fulani alikuwa anafuatilia nyendo za mumewe (waliyezaa nae watoto kadhaa bila ndoa) basi akagundua mzazi mwenza anapewa kisamvu cha kopo na anakifurahia Sana.
Mmama amecharuka anawaza kudili na mwizi wake maana ameshamjua.

Swali kwako mwenye ndoa au mahusiano imara. Kama ni wewe umegundua mumeo anafanya mambo kama hayo utafanyaje? Utamsaidiaje aache? Au na wewe utampatia??
Tuanze kwanza na wewe, utafanyaje katika iyo situation?
 
Nipasie namba za huyo Mshangazi kama hutojali Bibie Kakyuti,,,anayejihoji,Tuhojiane namna Bora ya kukabiliana na Hilo linamsibu.
 
Binadamu akili zinatuzidia sijui, pale kwenye OUTLET, watu wanafanya INLET
😂
NI Mwendo wa miguu yote tu, kama CR7
 
Hello dears

Poleni na majukumu.

Kuna mmama fulani alikuwa anafuatilia nyendo za mumewe (waliyezaa nae watoto kadhaa bila ndoa) basi akagundua mzazi mwenza anapewa kisamvu cha kopo na anakifurahia Sana.
Mmama amecharuka anawaza kudili na mwizi wake maana ameshamjua.

Swali kwako mwenye ndoa au mahusiano imara. Kama ni wewe umegundua mumeo anafanya mambo kama hayo utafanyaje? Utamsaidiaje aache? Au na wewe utampatia??
Mwambie kuwa unaelewa anachokifanya na info zote unazo kisha kwa upooole mwambie, akikichoka arudi kula nyumbani kabla chakula hakijachacha.

Mweleze huyo mamaa.
 
pole kwa yaliyokukuta hakika umepita mengi sana mpk na wanaume wenye miguu mitatu..!
jipige kifuani mara tatu huku ukiuambia moyo wako "yote kheri".😂
heeeee
 
Binadamu akili zinatuzidia sijui, pale kwenye OUTLET, watu wanafanya INLET
😂
NI Mwendo wa miguu yote tu, kama CR7
Curiosity ndo shida, by nature wanaume huwa tunashauku sana ya kutaka kujaribu mambo.

Sasa kwa dunia ya sasa dada zetu nao wanaushawishi sana kwa kujua ama kwakutokujua, kutokana na maumbile yao mwisho wa siku ndo hivyo inakuwa mchezo, lakini yote kwa yote mwisho wake huwa ni mbaya.
 
Yule mama ni mkali Sana
Yaaaaani over mbogo. Af naskia kutoa tunda Hadi atake yeye sasa labda made baba alichoka
Basi atakuwa ana sifa nyingine zaidi ambayo imefanya Mwamba atie nanga kwake 🤗
 
Binadamu akili zinatuzidia sijui, pale kwenye OUTLET, watu wanafanya INLET
[emoji23]
NI Mwendo wa miguu yote tu, kama CR7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom