Ungekuwa wewe, ungechagua safari ipi?

Ungekuwa wewe, ungechagua safari ipi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Anataka nisafiri ili nikaonane naye, na kama nitashindwa kusafiri itabidi yeye aje siku hiyo hiyo anifuate kwa sababu ana hamu sana ya shoo.

Wakati huo huo kwenye hiyo siku anayotaka tuonane naye, natakiwa nisafiri niende mkoa mwingine kwa shughuli za kibiashara, ambayo ni muhimu sana katika nyanja ya kiuchumi.

Sasa najiuliza, nichague biashara au mapenzi (kupelekea moto).

Nipeni ushauri.​
 
Screenshot_20260425-211738~2.jpg
 
ana mimba uyo anataka akubandike ukikutana nae mpime mimba kwanza
 
Business first , then pleasure.
ujue kuna vitu vingine ata haviitaji akili kubwa kuamua.

hivi kweli uache kwenda kwenye deal la kibunda ukatombe ?
Hii haiingii akilini kabisa.
Ukutane na kifaa kama hiki
leo3.jpg
 
Back
Top Bottom