Ungekuwa wewe, ungechagua safari ipi?

Ungekuwa wewe, ungechagua safari ipi?

Anataka nisafiri ili nikaonane naye, na kama nitashindwa kusafiri itabidi yeye aje siku hiyo hiyo anifuate kwa sababu ana hamu sana ya shoo.

Wakati huo huo kwenye hiyo siku anayotaka tuonane naye, natakiwa nisafiri niende mkoa mwingine kwa shughuli za kibiashara, ambayo ni muhimu sana katika nyanja ya kiuchumi.

Sasa najiuliza, nichague biashara au mapenzi (kupelekea moto).

Nipeni ushauri.​
Equation Yako ya akili haifanyi kazi ety
 
Back
Top Bottom