Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Business first , then pleasure.Biashara kwanza , kazi ni kipimo cha utu
Mtoto pia mkaliBiashara kwanza , kazi ni kipimo cha utu
Nenda nae ichapie humo humo kwenye gari , kama hauwezi vumiliaMtoto pia mkali
NakaziaMchukue nenda nae then muache lodge utakua unambong'oa taratibu taratibu au fanya mkutane huko
Wazo zuri hiliMbona unafeli hesabu ndogo hivi Mkuu, wewe nenda mkoani kwenye mchongo wa biashara, halafu yeye mwambie akufuate huko huko mkoani ulipo!
Wanasemaje hawa?
asisahau kondomNenda nae ichapie humo humo kwenye gari , kama hauwezi vumilia
Safi sana au achome lenacapavirasisahau kondom
Nitakuwa sijaitendea haki duniaAchana navyo vyoteView attachment 3650492
ana mimba uyo anataka akubandike ukikutana nae mpime mimba kwanzaAnataka nisafiri ili nikaonane naye, na kama nitashindwa kusafiri itabidi yeye aje siku hiyo hiyo anifuate kwa sababu ana hamu sana ya shoo.
Wakati huo huo kwenye hiyo siku anayotaka tuonane naye, natakiwa nisafiri niende mkoa mwingine kwa shughuli za kibiashara, ambayo ni muhimu sana katika nyanja ya kiuchumi.
Sasa najiuliza, nichague biashara au mapenzi (kupelekea moto).
Nipeni ushauri.
Hela ikiisha itakuwaje?Nenda kalombe mkuu achana na kazi
Basi chagua kazi then hiyo nyingine ifanye kama sherehe baada ya mafanikio ya kaziNitakuwa sijaitendea haki dunia
Ukutane na kifaa kama hikiBusiness first , then pleasure.
ujue kuna vitu vingine ata haviitaji akili kubwa kuamua.
hivi kweli uache kwenda kwenye deal la kibunda ukatombe ?
Hii haiingii akilini kabisa.