Ungekuwa wewe, ungechagua safari ipi?

Mchukue nenda nae then muache lodge utakua unambong'oa taratibu taratibu au fanya mkutane huko
Nalifanyia kazi hili wazo, ingawa nitaingia gharama kwa sababu ni mtu wa starehe.
 
Chagua vyote. Nenda naye kwenye safari ya biashara. Angalizo, zingatia Matumizi ya mpira vinginevyo aliye wa kike kati yenu apimwe mimba.
 

Mcheki Mama yako kwa ushauri wa Mambo ya kipumbafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…