Ungekuwa wewe, ungechagua safari ipi?

Wewe mnyamwezi mwenye usukuma Seran nowdayz umekua maji baridi,hauji maskani kuvuta weed,hupendi kuchangia yan kifupi toka umerudi kwenye BAN ni kama mzuka umekuisha nini kimetokea?
Mbona nachangia tu vzr mkuu ni vile nimebalance shobo na muda wa kuchangia kila mada nakosa, majukumu yamerudi kwenye mfumo, ila kishungi nakula kama kawaida 😎
 
Chagua vyote. Nenda naye kwenye safari ya biashara. Angalizo, zingatia Matumizi ya mpira vinginevyo aliye wa kike kati yenu apimwe mimba.
Tayari ana ujauzito, anasema inahitaji shoo kila wakati
 
Huyo lazima Kodi unakaribia kuisha, ukiona Mwanamke anakuhimiza kwenye jambo la Shoo, basi ujue kuna jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…