Ungekuwa wewe ungemshauri nini huyu dada?

Kosa kubwa alilofanya ni kulipa kisasi kwa kutembea na x wake na hayo ndio malipo yake.. kaachwa na mumewe, kumbe x nae ni mume wa mtu.. Akili za wanawake hizo.... Sina cha kumshauri.
 
Yaani analipa kisasi kwakunyanduliwa?? Hata kwangu angekula kadi nyekundu
 
Heheheeeee kwakweli mapenzi upofu, tunakuwaga maboya tukipenda jamani
 
Wanawake bhana Mungu awasaidie tu!
wengi wanaokimbia ndoa zao huishia kutendwa au huwa wanaishi maisha ya huzuni Sana huku wakijifariji ni super woman!
Sasa mtu kakimbia ndoa yake furaha aitoe wapi?
 
Nakili siwezi kuomba ushauri kwenye swala dogo kama hili.
Mwambie nimesema aache upumbavu, eti hataki kumpoteza? Mbona alimpoteza mme wake?kweli wanawake wajinga dunia hawaishi.

Mwambie afungue secret account,kuanzia sasa pesa aweke kule, huyo mwanaume akimuuliza amwambie wewe na mke wako mnachukua pesa bila kurudisha mnategemea nini?

Mwisho wa mwisho duka liishe kimya kimya.

Ila ningekuwa mimi hivyo vitu ningeviuza mara moja hiyo pesa nikatunza kwa ajili ya kulea watoto. Nisingemwambia chochote huyo mwanaume akitaka aondoke.

Afu mwambie atoe upumbavu wa kushare biashara na mme wa mtu. Aache hiyo biashara haraka sana. Asirudie kukopea mshahara maana soon hata huyo mwanaume atamuacha.

Ila wanawake wanaendeshwa na ngono sana mbona huo upumbavu mm siwezi fanya? Jitu halimuhudumii linaleta kwake mbupu tu eti hataki kuliacha nfyuuuxxxxxxy
 
Dawa yake nawe iyo 10m fungua biashara nyingine bila kumuhusisha iyo mliyofungua naye ifirisi halafu mbaki mnapeana utamu usimshirikishe kwenye biashara yako Lea familia yako inaonekana anakutumia tu
 
Kuna watu mnajua kuchangia.

Mm nibaki kutazama tu hapa[emoji16]

Sent from my LM-V409N using JamiiForums mobile app
 
Sasa we dada yngu alikucheat na we unalipiza na kumwambia kabisa unalipiza kisasi, ivi hamkuelewa ule meimbo wa diamond na Shetta, yani nyie mawanawaze mnakuaga majinga sana, sasa baada ya kumkomesha umejikomesha, kwa taarifa yko ata mwanaume akupende vipi, akiona umecheat upendo wote unayeyuka kinachobaki ni chuki kwako
Sasa apo umelikoroga mwenyewe

Sina la kukushauri ila wa kumshauri ni hawa ambao wanasoma na bado hawajafanya kosa kama lako maana nyie ndo mnafaidika na ndoa, mwanaume akikuacha ata kesho atapata mwingine
 
Huyo amna cha kumshauri,kama alijishauri kumuacha Mme wake kisa alichepuka na kuamua kua mchepuko wa Mme wa mtu basi inatosha kusema amalizane na upumbafu wake.
 
Dawa yake nawe iyo 10m fungua biashara nyingine bila kumuhusisha iyo mliyofungua naye ifirisi halafu mbaki mnapeana utamu usimshirikishe kwenye biashara yako Lea familia yako inaonekana anakutumia tu
Hiyo baharia sijaona tatizo kwake kapewa nafasi na kaitumka inavyotakiwa angezembea na yeye angemuacha mke na watoto
 
Kama kukosea alishakosea. Ushauri wangu kwa huyo dada ako.
1. Aachane na huyo kunguni. Kama pesa aliyotoa jamaa amesharudisha.
Kama ndoa amevunja kinachomshinda ktk uhusiano nn? Mwambie kaachwa mara moja tu, kwa huyo x wake anaacha yeye.

2. Akubaliane na khali halisi. Maisha ya uhusiano yamemshinda. Wa kwake kamshindwa, na huyo wa mwenzie pia kamshindwa. Sitaki kujua kwann huyo X wake hakumuoa.

3. Atambue ana deni. Amekopa anadaiwa, pia watoto wanamdai malezi, elimu. Apige kazi aachane na mapenzi.
 
Kapigwa dudu mpaka anajisahau kuwa huyo ni mme wa mtu lazima atarudi tu kwa mkewe
 
Hyo baharia sijaona tatizo kwake kapewa nafasi na kaitumka inavyotakiwa angezembea na yeye angemuacha mke na watoto
Kwani hapa tunamshauri huyo baharia au huyo dada jifunze kusoma kuelewa kabla haujajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…