Ungekuwa wewe ungemshauri nini huyu dada?

Ungekuwa wewe ungemshauri nini huyu dada?

Habari Kaka, mimi ni Mama wa watoto wawili, nimeolewa ndoa yangu ina miaka 7 sasa, mwkaa jana nilikorofishana na mume wangu, nilimfumania na dada wa kazi. KutoKana na kunidhalilisha nilichukua jukumu la kuondoka ili kumuacha, lakini alikuja kuomba msamaha nikamsamehe, lakini nilishindwa kusahau, nikiwa katika upweke huo nilijikuta naanzisha mahusiano na X wangu.
Wanawake bana, sijui Dudu huwa inawapa mvurugiko wa akili? unaona kabisa the Nigga is using you, ila sababu anakupa Dudu , basi hujielewi na wala huoni. Amka dada wacha kuendekeza Dudu utakufa maskini.
 
Back
Top Bottom