mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Kuna waliokataa uteuziHivi wale waliokataa uteuzi wamebadilishiwa kazi au Fire on Fire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna waliokataa uteuziHivi wale waliokataa uteuzi wamebadilishiwa kazi au Fire on Fire
Mwalimu wa shule ya msingi.Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani?
Na kwanini!
Majibu yako, yatazingatiwa
Naamini usingeacha kunipa ajira ya kuandikaandika na kuchora kwenye madaraja na mawe makubwa kukusifu nchi nzima.Waziri wa Fedha na Mipango. 😇
Kila mwaka ningekuwa naingiza nchini Yutong zisizopungua 60, ninakuwa na majumba yangu lukuki ya kifahari, magari ya kifahari, vituo vya mafuta, timu ya mpira wa miguu, vimada, na machawa wangu nchi nzima.
Dah! Ngoja niwahi kulala ili kesho niwahi sokoni kuuza nyanya chungu zangu.
Duh ile ya miaka mitano na kustaafu kama ipo kwenye ajira ya serikaliUngepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani?
Na kwanini!
Majibu yako, yatazingatiwa
Kwa kweliii.Manunuzi,kitu cha million 100 ninaandika million 250 hahahhahh.Ndo wanavyofanya.Unafungwa baadae unatoka uanpewa adhabu ya kufagia sehemu za umma.Huku uliiba umewekeza mali za kula mpaka vitukuu wa vitukuu wako.Kama unabisha muulize Daniel Yonah.aliiba na sasa anaenjoy na vizazi.vyake vitaenjoy.