Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Aisee.Sina haja ya kukutana nao hao baadhi yao wana tabia mbaya sana ya kuingilia PM za watu. Ushauri kwa Maxence Melo na JamiiForums waboreshe eneo la PM hawa Mods wasiwe na access ya kuingia kabisa
safi sanaKama mimi hapa? 😅😅 kikawaida hata nje ya JF hatuna dhambi. 🤣
Hakuna mwanamke hata mmoja hapo?Yupi kati yao hasa ungependa kukutana nae?
Ungepata nafasi ya kukutana nae ungemwambia nini kuhusu mtandao huu?
Nini kiboreshwe zaidi? Nini kipunguzwe? View attachment 2880387
Uwezo wa ku-kick out bado upo, unaweza kujaribu na uniambie kama haujaweza ku-kick out mtu usiyemuhitaji
Hakuna mwenye uwezo wa kuingilia PM ya mtu yeyote. Unapokuwa PM angalia idadi ya watu waliopo (kwa kubonyeza nukta tatu upande wa kulia, chaguo la kwanza lilioandikwa "Participants") na kama mtu sio sehemu ya mjadala bofya Kick-out kumtoa.Sina haja ya kukutana nao hao baadhi yao wana tabia mbaya sana ya kuingilia PM za watu. Ushauri kwa Maxence Melo na JamiiForums waboreshe eneo la PM hawa Mods wasiwe na access ya kuingia kabisa
Mkuu Analyse ,Kuna muda ukiwa pm hata kama conversation inawatu wawili, pale juu utaona inaandika 3 online. Mtu wa tatu anayeongezeka ni huyo YinYang. Yeye ndio Head of Content Management, huwa anatabia ya kusoma pm
Hamtaki Kuibiwa Na kudanganywa😅Naunga mkono hoja waweke na voice note 🤣
Mkuu sasa huyo watatu anakuwa ametokea wapi?Hakuna mwenye uwezo wa kuingilia PM ya mtu yeyote. Unapokuwa PM anaglia idadi ya watu waliopo na kama mtu sio sehemu ya mjadala bofya Kick-out kumtoa
Watatu mtu asiyejulikana 🤣🤣🤣Yaani natamani tukiwa tunapiga threesome PM na huyo watatu nimjue ni nani basiii 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Kuna comment nyingine inahitaji kureply kwa voice, mana kuna viumbe wabishiHamtaki Kuibiwa Na kudanganywa😅
Kwahiyo unaangalia tu ephen anachat na nani? Bila kusoma tunachoandika?Mkuu Analyse ,
Sina uwezo wa kuingia PM yako, na hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kuingilia PM yako. Kwenye uwanja wa PM kuna sehemu ya Participants ambapo inakuruhusu kuangalia watu mliokwenye maongezi. Hizo tuhuma unazoleta hazina ukweli wowote.
Kwanini huwa naona 3 Participants? ni bora basi na huyu mshiriki mwingine nimtambue sio anakuja kuingilia falagha za watu bila ruhusa kwa kifupi ule ni utovu wa nidhamu na huyo Mshiriki wa tatu jitahidini kumdhibiti. Na Mimi nimeshatafuta namna ya kumuumbua wakati wowote.Hakuna mwenye uwezo wa kuingilia PM ya mtu yeyote. Unapokuwa PM angalia idadi ya watu waliopo (kwa kubonyeza nukta tatu upande wa kulia, chaguo la kwanza lilioandikwa "Participants") na kama mtu sio sehemu ya mjadala bofya Kick-out kumtoa.
Nimeshindwa. Mwanzoni kick out ilikuwa mwishoni kabisa mwa conversation, siku hizi siioni kabisa.Uwezo wa ku-kick out bado upo, unaweza kujaribu na uniambie kama haujaweza ku-kick out mtu usiyemuhitaji
Hivyo viumbe vinaomba iwekwe hata Sasa visikie Sauti nyororo🤣🤣🤣 Kuna comment nyingine inahitaji kureply kwa voice, mana kuna viumbe wabishi
🤣🤣🤣 wataibiwa watu humu, na nyuzi za kutapeliwa zitakuwa nyingiHivyo viumbe vinaomba iwekwe hata Sasa visikie Sauti nyororo