Naturally mimi ni mkulima/mfugaji professionally nipo kwingineHaha 😀 Mkuu na wewe ni mkulima/mfugaji?
Hata wasiporithi nitawalazimisha mpaka waelewe somoSawa mkuu, huenda wakarithi gene zako za ukulima/ufugaji.
Kabisa, Kila Mtu ajichagulie carrier yake.Umetisha kiongozi, mimi pia ningependa iwe hivyo.
Hahaha hakikisha mwanao hawi chawa uchawa ni laana na uzwazwa.Umri ukisogea utagundua kwamba huna control na mambo mengi zaidi ya kujibiisha, kulea na kumwomba Mungu!
Ila kitu pekee ambacho naweka mkazo ni asiwe mwana ccm au Chawa kama Lucas mwafala
Sister umeongea jambo zuri mkuu, bora yetu millenials na Gen Z, hawa Gen Alpha & Gen Beta wanatisha wengi wao utasikia wanapenda ucontent creator mitandaoni.Mjenge mtoto wako Ili baadaye afanye kitu ambacho hata wewe mzaz utafurahia wewe unayesema atafanya anachojisikia mmh nikiangalia hiki kizaz Cha ticktock bila kushika mjeledi wataishia kuuza sura mitandaon
Mzee sidhani kama atakua mgumu kiasi hicho, homeschooling inamhusu. Mzee sisi alikuwa anamlipa ticha kuja nyumbani kutufundisha, kwahiyo hata mimi napita humo humoItakuwa noma kuna watoto wengine wagumu kuelewa hasa hawa Gen Alpha & Gen Beta