Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 14,241
- 40,752
Mkuu hii kazi bodaboda hapana aisee naifanya part time lakini ni mizinguoHahaha 😀 😀
Umekataa kwa lugha zote mkuu!
Mkuu hii kazi bodaboda hapana aisee naifanya part time lakini ni mizinguoHahaha 😀 😀
Umekataa kwa lugha zote mkuu!
Mkuu siwezi kusema mengi 🙌Dah 😀 😀 😀
Ndio maana umekataa mpaka kwa kilugha.
Ndio mpango mzima💪Sawa mkuu mapambano yaendelee, Fid Q anasema:
"Mafanikio hayaji ukikata tamaa"
Nani kasema hata kama mzazi akiwa malaya atataka mwanae nawe awe malaya, Hapana labda mazingira yambadilishe mwenyewe.Eti Nusratt ? Unasemaje.
Ni kweli kabisa.Nani kasema hata kama mzazi akiwa malaya atataka mwanae nawe awe malaya, Hapana labda mazingira yambadilishe mwenyewe.
Mimi kiufupi sikujaliwa kupata mtoto, ila hata kama ningejaaliwa kupata au huyu ninayemlea sitapenda aje kufanya kazi niliyoifanya.
😳Sijawahi waza kuwa na mtoto..
Sipendi mtoto an mtoto wangu mwenyewe an bora mtoto awe wa mdogo angu au dada angu...
Ikitokea bahati mbaya nikapata mtoto..
Nitapenda mwanangu awe ......
Skia mi staki mtoto kaka
Mi sitaki mtoto seriously mkuu😳
Mkuu ukilewa usichat, utarudi kufuta hii comment
Sitaki tabu nazopitia aje apitie na yeye.. Ntamuachia achague anachotaka.. Ila ikitokea ameopt kufanya kaz ya baba sitampinga, ntaichukulia kama fate yake.Kwanini mkuu 😳
Nakimbia majukumu mkuu just imagine kusomesha toto tokea primary hadi chuo alafu linakuja kupenda mishangazi badara ya mzazi wake si uchizi huoKwanini mkuu 😳
Hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali chief
Mzazi kutimiza jukumu lako kwa mtoto ni LAZIMA na ni HAKI yake bila kujali matokeo ya baadae..Nakimbia majukumu mkuu just imagine kusomesha toto tokea primary hadi chuo alafu linakuja kupenda mishangazi badara ya mzazi wake si uchizi huo
Siwezi kuvumilia huo ujinga mimiMzazi kutimiza jukumu lako kwa mtoto ni LAZIMA na ni HAKI yake bila kujali matokeo ya baadae..
Ndo ilibidi wawaze an...Hahaha mkuu huwezi kucontrol future, wazazi wetu wangewaza hivyo wasingetuzaa!
Hata huyo ambaye atakuwa na mishangazi, bado kwa namna yoyote ile atakunufaisha...Siwezi kuvumilia huo ujinga mimi