Ungependa mwanao akikua afanye kazi/shughuli unazofanya wewe au la?

Ungependa mwanao akikua afanye kazi/shughuli unazofanya wewe au la?

Sitaki tabu nazopitia aje apitie na yeye.. Ntamuachia achague anachotaka.. Ila ikitokea ameopt kufanya kaz ya baba sitampinga, ntaichukulia kama fate yake.
Katika kuchagua anaweza akachagua visivyo sawa, utamruhusu pia?
 
Ndio, namfundisha kwa vitendo, ameshakuwa saidia fundi kabisa, kila likizo niko nae ofisini isipokuwa December.
 
Ndio, namfundisha kwa vitendo, ameshakuwa saidia fundi kabisa, kila likizo niko nae ofisini isipokuwa December.
Anha sawa mkuu, vipi ukimpa uzoefu awe fundi kabisa.
 
Ndio nampa uzoefu hapa, saidia fundi ni fundi, sema yuko nyuma kwasababu fundi mkuu yupo.
Sawa mkuu, mpe pia akili za kimaisha, maana naonaga nyie mafundi kujenga nyumba zenu huwa nongwa sana! Wachache huwa wanapata akili ya kujenga.
 
Ndio, lakini ili kufanikisha hili natakiwa nioe mwanamke anaenizidi akili
 
Inafikirisha "mwanamke anaenizidi akili" 😳
Ndio, maana sitaki mwanangu ateseke kama mimi, na kwasababu sipendi unyonyaji na ukandamizaji ndio maana nataka aje kuwa na akili by nature. Za mama yake na zangu zikiungana zinaweza kumfanya afanye kazi kama yangu bila shida
 
Back
Top Bottom