Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
- Thread starter
- #101
Huenda ikawa hivyo mkuu, lakini code za vikao vyetu zimeainisha tusioe wanawake wanaotuzidi sekta nyeti; pesa, akili, na umri.Ndio, maana sitaki mwanangu ateseke kama mimi, na kwasababu sipendi unyonyaji na ukandamizaji ndio maana nataka aje kuwa na akili by nature. Za mama yake na zangu zikiungana zinaweza kumfanya afanye kazi kama yangu