Ungependa mwanao akikua afanye kazi/shughuli unazofanya wewe au la?

Ungependa mwanao akikua afanye kazi/shughuli unazofanya wewe au la?

Mzee sidhani kama atakua mgumu kiasi hicho, homeschooling inamhusu. Mzee sisi alikuwa anamlipa ticha kuja nyumbani kutufundisha, kwahiyo hata mimi napita humo humo
Nakubali mkuu, ni fahari sana watoto kuvaa viatu vya mzazi na kufuata nyayo zake, hasa kama mzazi alikuwa anafanya mambo mazuri na makubwa.
 
Sister umeongea jambo zuri mkuu, bora yetu millenials na Gen Z, hawa Gen Alpha & Gen Beta wanatisha wengi wao utasikia wanapenda ucontent creator mitandaoni.
Et ndo kazi content creator? Eeh watoto wangu wajiandae kwanza kuingia jkt wapate ukakamavu wakitoka huko ndo tutaelewana
 
Et ndo kazi content creator? Eeh watoto wangu wajiandae kwanza kuingia jkt wapate ukakamavu wakitoka huko ndo tutaelewana
Hahaha huna masikhara, watakuwa na bahati kuwa na mama kama wewe.
 
Heshima mbele wakuu.

Tumeshuhudia mara nyingi, watoto hurithi kazi za wazazi wao. Kama baba alikuwa mwimbaji mtoto nae anakuwa mwimbaji, kama mama alikuwa muigizaji mtoto nae anakuwa muigizaji.
Baba na mama wanasiasa/viongozi watoto nao pia wanapita humo humo.

Hata wezi nao pia watoto wanaiga wanakuwa wezi!
Dah hii sio haki
 
Kama ataipenda kazi ninayofanya ruksa. Sitampangia sana ila nitajitahidi kumuwekea mitego ili anase kwenye kazi nitakayopenda afanye. Mimi nataka mtoto awe mtaalamu wa fani yoyote yenye mpunga mrefu.
 
Mtoto kumchagulia kazi ya kufanya baada ya makuzi au kufanya kazi nayoifanya hii haiko sawa chief
Mitazamo inatofautiana hivyo sikupingi, ndio maana nikauliza ungependa mwanao afanye kazi unayofanya au lah?
 
Heshima mbele wakuu.

Tumeshuhudia mara nyingi, watoto hurithi kazi za wazazi wao. Kama baba alikuwa mwimbaji mtoto nae anakuwa mwimbaji, kama mama alikuwa muigizaji mtoto nae anakuwa muigizaji.
Baba na mama wanasiasa/viongozi watoto nao pia wanapita humo humo.

Hata wezi nao pia watoto wanaiga wanakuwa wezi!
Afanye kazi yoyote ila asijihusishe na mambo ya Ujambazi/Uhalifu..
 
Back
Top Bottom