Ungependa mwanao akikua afanye kazi/shughuli unazofanya wewe au la?

Mjenge mtoto wako Ili baadaye afanye kitu ambacho hata wewe mzaz utafurahia wewe unayesema atafanya anachojisikia mmh nikiangalia hiki kizaz Cha ticktock bila kushika mjeledi wataishia kuuza sura mitandaon
 
Sister umeongea jambo zuri mkuu, bora yetu millenials na Gen Z, hawa Gen Alpha & Gen Beta wanatisha wengi wao utasikia wanapenda ucontent creator mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…